Wazee ambao umri umeenda na hawajajipata Dar es Salaam The best and wise choice ni kurudi kijijini.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Kuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya.

Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni nginjanginja no one cares.

Watoto mjini hawana adabu na wabishi kinoma muda wowote wana kukosea heshima na kukutukana juu kwa sababu ndogondogo let's say upo zako kwenye mwendokasi unalalamika huduma mbovu kanatokea katoto kamwaka 2005 kanakujibu kwa confidence "yaani mzee toka ujana wako mpaka uzee umeshindwa kujipanga ukanunua hata passo" hii ni dhihaka japo Ina ukweli ndani yake.

Uzee ni kipindi ambacho kinahitaji utulivu na mapumziko. mjini utulivu ni nadra vurugu Kila wakati kelele za masingeli, vigodoro watu wamefumaniana yaani kero tupu.

Ukiwa Mzee inabidi uwe unajikeep busy na kilimo na ufugaji sasa mjini ukiwa huna pesa kupata eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji na kilimo ni ndoto why usijirudie kijijini kwenu ukazeeka kistaarabu.
 
Wengi wanaona ni kheri kubaki mjini kwa dhiki lakini wana ndugu na marafiki wa kusaidiana kuliko kurudi kijijini ambapo kama huna nguvu za kulima na ulikuwa hurudi kijijini kusalimia hadi unasahaulika. Lazma uishi kwa upweke na masimango ya kutoka mjini bila hela

Kiufupi bora utukanwe na kijana kwenye mwendokasi ila sio kuchekwa na kijiji kizima
 
una uhakika wazee wote walioko dar ni wahamiaji yaan wametokea vijijini hujui kwamba kuna wengine wamezaliwa dar
 
Kijijini hawawezi kurudi maana ni aibu vijana wenzao wa zamani waliobaki kijijini wao wakaaga wanaenda kutafuta pesa ndo matajiri huko kijijini sasa leo hii arudi na malapa ya bluu shati mbili na suruali 1 aliyoweka kwenye mfuko wa 300 si aibu hiyo
 
Ukiona umekaa usimcheke aliyesimama. Maisha ni kupokezana.

Punguza ushauri hasa kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wa binadamu, mshukuru Mungu, waombee hata kimya kimya unaowahisi walitumia ujana vibaya.

Remember, Mungu ndiye anayetupa nguvu ya kupata utajiri.
Kwa waamini wa dini ya Kristo Kuna neno linasema, Maskini mnao siku zote...
This means ili kubalance nature haya matabaka ya watu lazima yawepo kwasababu bahati humpata Kila mtu kwa wakati wake.
 
Je uko kijijini wameandaa mazingira ?

Mimi kitu amhacho najua MTU anaweza kuwa anaishi dar Ila akawa amewekeza kwao kijijini na ikifika umri Fulani anaamua kurudi nyumbani that's good.

Kwakuwa kujenga dar sio rahisi Ila mtu akiwa na mipango mizuri na mungu akimuwezesha riziki anaweza kujenga kwao kijijini.

Hivyo hao wazee wanarudi kijijini wapi na je waliandaa mazingira?

Ikiwa hawakujipanga wakirudi kijijini wanaenda kufa haraka Sana .

Mimi nayaelewa maisha ya kijijini is not easy
 
Kuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya.

Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni nginjanginja no one cares.

Watoto mjini hawana adabu na wabishi kinoma muda wowote wana kukosea heshima na kukutukana juu kwa sababu ndogondogo let's say upo zako kwenye mwendokasi unalalamika huduma mbovu kanatokea katoto kamwaka 2005 kanakujibu kwa confidence "yaani mzee toka ujana wako mpaka uzee umeshindwa kujipanga ukanunua hata passo" hii ni dhihaka japo Ina ukweli ndani yake.

Uzee ni kipindi ambacho kinahitaji utulivu na mapumziko. mjini utulivu ni nadra vurugu Kila wakati kelele za masingeli, vigodoro watu wamefumaniana yaani kero tupu.

Ukiwa Mzee inabidi uwe unajikeep busy na kilimo na ufugaji sasa mjini ukiwa huna pesa kupata eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji na kilimo ni ndoto why usijirudie kijijini kwenu ukazeeka kistaarabu.
Wewe nawe ni bumunda! Ina maana hakuna wazee waliozaliwa Dar? Sasa unataka Wazaramo akina Mzee Mohamed Saidi waende vijijini wapi? Wacha hizo mkuu! Eti arudi kijijini kwao?
 
Wengi wanaona ni kheri kubaki mjini kwa dhiki lakini wana ndugu na marafiki wa kusaidiana kuliko kurudi kijijini ambapo kama huna nguvu za kulima na ulikuwa hurudi kijijini kusalimia hadi unasahaulika. Lazma uishi kwa upweke na masimango ya kutoka mjini bila hela

Kiufupi bora utukanwe na kijana kwenye mwendokasi ila sio kuchekwa na kijiji kizima
Kulima sikuizi si kwa jembe la mkono anymore. Is why recommended ukiwa na nguvu hakikisha mazingira ya kijijin unaweka sawa, atleast on modern house. As retirement plan
 
Nafikiri wengi wanaongela maisha ya vijijini ambayo hawayajui.. Kijijini ni changamoto zaidi, huwezi kula kama hujalima au kufanya kazi fulani.. hakuna anayeweza kukupa chakula na wao hawana kitu.. Kwa kweli kijijini wengi wanaoishi kwa raha ni kwa fadhila za watoto wao, ambao wanafanya kila kitu wananunua chakula, wanalipia umeme, king'amuzi na mengineyo.... Lakini mtu aliyoko kijijini, yaani full dependence kwa watoto au wanafamilia waliopo mijini.... Sasa akibaki mjina angalau anaweza kuuza hata karanga, ice cream, uji au chochote kwa kupitia watu anaokaa nao, au akapata kijana akampa malazi akawa anapata mapato madogo madogo ... Kingine muhimu ni upatikanaji wa huduma za afya na matibabu...... Kijijini upasikie tu , sio sehemu ya kuishi kama hauna mfumo wa kupata chakula au mapato fulani..
 
wamesahau inshu ya matibabu. huduma ziko mbali na hafifu
 
Kuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya.

Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni nginjanginja no one cares.

Watoto mjini hawana adabu na wabishi kinoma muda wowote wana kukosea heshima na kukutukana juu kwa sababu ndogondogo let's say upo zako kwenye mwendokasi unalalamika huduma mbovu kanatokea katoto kamwaka 2005 kanakujibu kwa confidence "yaani mzee toka ujana wako mpaka uzee umeshindwa kujipanga ukanunua hata passo" hii ni dhihaka japo Ina ukweli ndani yake.

Uzee ni kipindi ambacho kinahitaji utulivu na mapumziko. mjini utulivu ni nadra vurugu Kila wakati kelele za masingeli, vigodoro watu wamefumaniana yaani kero tupu.

Ukiwa Mzee inabidi uwe unajikeep busy na kilimo na ufugaji sasa mjini ukiwa huna pesa kupata eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji na kilimo ni ndoto why usijirudie kijijini kwenu ukazeeka kistaarabu.
Kijiji gani Mkuu. Amezaliwa Ocean Road akakulia mwananyamala na kuzeekea hapo hapo.
 
Back
Top Bottom