peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Na mjini bila pesa mambo hayaendiWengi wanaona ni kheri kubaki mjini kwa dhiki lakini wana ndugu na marafiki wa kusaidiana kuliko kurudi kijijini ambapo kama huna nguvu za kulima na ulikuwa hurudi kijijini kusalimia hadi unasahaulika. Lazma uishi kwa upweke na masimango ya kutoka mjini bila hela
Kiufupi bora utukanwe na kijana kwenye mwendokasi ila sio kuchekwa na kijiji kizima
Duuu uko serious? Ni nadra kutoboa kwa kubet.Hakuna kukata tamaa hapa, nina 65yrs, na bado naamini nitatusua...
Mkuu tafadhali. Watu wanapata pesa wanafuja kwenye club. Mungu hana makosa wala hausiki.Ukiona umekaa usimcheke aliyesimama. Maisha ni kupokezana.
Punguza ushauri hasa kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wa binadamu, mshukuru Mungu, waombee hata kimya kimya unaowahisi walitumia ujana vibaya.
Remember, Mungu ndiye anayetupa nguvu ya kupata utajiri.
Kwa waamini wa dini ya Kristo Kuna neno linasema, Maskini mnao siku zote...
This means ili kubalance nature haya matabaka ya watu lazima yawepo kwasababu bahati humpata Kila mtu kwa wakati wake.
Wanakwenda kufa bora wabaki hapa waendelee na ujanjaujanja wao kusogeza sikuKuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya.
Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni nginjanginja no one cares.
Watoto mjini hawana adabu na wabishi kinoma muda wowote wana kukosea heshima na kukutukana juu kwa sababu ndogondogo let's say upo zako kwenye mwendokasi unalalamika huduma mbovu kanatokea katoto kamwaka 2005 kanakujibu kwa confidence "yaani mzee toka ujana wako mpaka uzee umeshindwa kujipanga ukanunua hata passo" hii ni dhihaka japo Ina ukweli ndani yake.
Uzee ni kipindi ambacho kinahitaji utulivu na mapumziko. mjini utulivu ni nadra vurugu Kila wakati kelele za masingeli, vigodoro watu wamefumaniana yaani kero tupu.
Ukiwa Mzee inabidi uwe unajikeep busy na kilimo na ufugaji sasa mjini ukiwa huna pesa kupata eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji na kilimo ni ndoto why usijirudie kijijini kwenu ukazeeka kistaarabu.
Na wale ambao kijijini kwao ni kariakoo,manzese na keko unawashauri Nini?Kuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya.
Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni nginjanginja no one cares.
Watoto mjini hawana adabu na wabishi kinoma muda wowote wana kukosea heshima na kukutukana juu kwa sababu ndogondogo let's say upo zako kwenye mwendokasi unalalamika huduma mbovu kanatokea katoto kamwaka 2005 kanakujibu kwa confidence "yaani mzee toka ujana wako mpaka uzee umeshindwa kujipanga ukanunua hata passo" hii ni dhihaka japo Ina ukweli ndani yake.
Uzee ni kipindi ambacho kinahitaji utulivu na mapumziko. mjini utulivu ni nadra vurugu Kila wakati kelele za masingeli, vigodoro watu wamefumaniana yaani kero tupu.
Ukiwa Mzee inabidi uwe unajikeep busy na kilimo na ufugaji sasa mjini ukiwa huna pesa kupata eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji na kilimo ni ndoto why usijirudie kijijini kwenu ukazeeka kistaarabu.
Maneno ya busara Sana🙏,Ukiona umekaa usimcheke aliyesimama. Maisha ni kupokezana.
Punguza ushauri hasa kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wa binadamu, mshukuru Mungu, waombee hata kimya kimya unaowahisi walitumia ujana vibaya.
Remember, Mungu ndiye anayetupa nguvu ya kupata utajiri.
Kwa waamini wa dini ya Kristo Kuna neno linasema, Maskini mnao siku zote...
This means ili kubalance nature haya matabaka ya watu lazima yawepo kwasababu bahati humpata Kila mtu kwa wakati wake.
Na wengine wamekuja kutembea tu,halafu wanarudi walikotoka.una uhakika wazee wote walioko dar ni wahamiaji yaan wametokea vijijini hujui kwamba kuna wengine wamezaliwa dar
YaapNa wengine wamekuja kutembea tu,halafu wanarudi walikotoka.