BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
una uhakika wazee wote walioko dar ni wahamiaji yaan wametokea vijijini hujui kwamba kuna wengine wamezaliwa darKuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya.
Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni nginjanginja no one cares.
Watoto mjini hawana adabu na wabishi kinoma muda wowote wana kukosea heshima na kukutukana juu kwa sababu ndogondogo let's say upo zako kwenye mwendokasi unalalamika huduma mbovu kanatokea katoto kamwaka 2005 kanakujibu kwa confidence "yaani mzee toka ujana wako mpaka uzee umeshindwa kujipanga ukanunua hata passo" hii ni dhihaka japo Ina ukweli ndani yake.
Uzee ni kipindi ambacho kinahitaji utulivu na mapumziko. mjini utulivu ni nadra vurugu Kila wakati kelele za masingeli, vigodoro watu wamefumaniana yaani kero tupu.
Ukiwa Mzee inabidi uwe unajikeep busy na kilimo na ufugaji sasa mjini ukiwa huna pesa kupata eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji na kilimo ni ndoto why usijirudie kijijini kwenu ukazeeka kistaarabu.
Wewe nawe ni bumunda! Ina maana hakuna wazee waliozaliwa Dar? Sasa unataka Wazaramo akina Mzee Mohamed Saidi waende vijijini wapi? Wacha hizo mkuu! Eti arudi kijijini kwao?Kuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya.
Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni nginjanginja no one cares.
Watoto mjini hawana adabu na wabishi kinoma muda wowote wana kukosea heshima na kukutukana juu kwa sababu ndogondogo let's say upo zako kwenye mwendokasi unalalamika huduma mbovu kanatokea katoto kamwaka 2005 kanakujibu kwa confidence "yaani mzee toka ujana wako mpaka uzee umeshindwa kujipanga ukanunua hata passo" hii ni dhihaka japo Ina ukweli ndani yake.
Uzee ni kipindi ambacho kinahitaji utulivu na mapumziko. mjini utulivu ni nadra vurugu Kila wakati kelele za masingeli, vigodoro watu wamefumaniana yaani kero tupu.
Ukiwa Mzee inabidi uwe unajikeep busy na kilimo na ufugaji sasa mjini ukiwa huna pesa kupata eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji na kilimo ni ndoto why usijirudie kijijini kwenu ukazeeka kistaarabu.
Kulima sikuizi si kwa jembe la mkono anymore. Is why recommended ukiwa na nguvu hakikisha mazingira ya kijijin unaweka sawa, atleast on modern house. As retirement planWengi wanaona ni kheri kubaki mjini kwa dhiki lakini wana ndugu na marafiki wa kusaidiana kuliko kurudi kijijini ambapo kama huna nguvu za kulima na ulikuwa hurudi kijijini kusalimia hadi unasahaulika. Lazma uishi kwa upweke na masimango ya kutoka mjini bila hela
Kiufupi bora utukanwe na kijana kwenye mwendokasi ila sio kuchekwa na kijiji kizima
Nafikiri wengi wanaongela maisha ya vijijini ambayo hawayajui.. Kijijini ni changamoto zaidi, huwezi kula kama hujalima au kufanya kazi fulani.. hakuna anayeweza kukupa chakula na wao hawana kitu.. Kwa kweli kijijini wengi wanaoishi kwa raha ni kwa fadhila za watoto wao, ambao wanafanya kila kitu wananunua chakula, wanalipia umeme, king'amuzi na mengineyo.... Lakini mtu aliyoko kijijini, yaani full dependence kwa watoto au wanafamilia waliopo mijini.... Sasa akibaki mjina angalau anaweza kuuza hata karanga, ice cream, uji au chochote kwa kupitia watu anaokaa nao, au akapata kijana akampa malazi akawa anapata mapato madogo madogo ... Kingine muhimu ni upatikanaji wa huduma za afya na matibabu...... Kijijini upasikie tu , sio sehemu ya kuishi kama hauna mfumo wa kupata chakula au mapato fulani..
Kijiji gani Mkuu. Amezaliwa Ocean Road akakulia mwananyamala na kuzeekea hapo hapo.Kuwa Mzee afu huna kibunda na unaishi Dar es salaam hakuna rangi utaacha kuona aisee utateseka na uzee wako utaumaliza vibaya.
Hekaheka ni nyingi ambazo zinahitaji uwe physically fit kwa mfano kwenye usafiri wa umma watu hawacheki na wowote kuanzia kwenye mwendokasi mpaka daladala yaani ni nginjanginja no one cares.
Watoto mjini hawana adabu na wabishi kinoma muda wowote wana kukosea heshima na kukutukana juu kwa sababu ndogondogo let's say upo zako kwenye mwendokasi unalalamika huduma mbovu kanatokea katoto kamwaka 2005 kanakujibu kwa confidence "yaani mzee toka ujana wako mpaka uzee umeshindwa kujipanga ukanunua hata passo" hii ni dhihaka japo Ina ukweli ndani yake.
Uzee ni kipindi ambacho kinahitaji utulivu na mapumziko. mjini utulivu ni nadra vurugu Kila wakati kelele za masingeli, vigodoro watu wamefumaniana yaani kero tupu.
Ukiwa Mzee inabidi uwe unajikeep busy na kilimo na ufugaji sasa mjini ukiwa huna pesa kupata eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji na kilimo ni ndoto why usijirudie kijijini kwenu ukazeeka kistaarabu.
As long ni MTanzania anayo haki ya kuishi popote TzKijiji gani Mkuu. Amezaliwa Ocean Road akakulia mwananyamala na kuzeekea hapo hapo.