Wazee ambao umri umeenda na hawajajipata Dar es Salaam The best and wise choice ni kurudi kijijini.

Na mjini bila pesa mambo hayaendi
 
Mkuu tafadhali. Watu wanapata pesa wanafuja kwenye club. Mungu hana makosa wala hausiki.
 
Wanakwenda kufa bora wabaki hapa waendelee na ujanjaujanja wao kusogeza siku
 
Na wale ambao kijijini kwao ni kariakoo,manzese na keko unawashauri Nini?
 
M Maneno ya busara Sana🙏,
mtoa mada hebu soma hapa✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…