Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nawapenda ndugu zangu wahaya wa Bukoba , wana akili sana!
Wanasema hii kadhia ya makelele ya kutaka mkoa wa Chato, kumaliza udhia, mkoa wa Geita uitwe mkoa wa Chato, kesi kwisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hakuna faida yoyoteView attachment 1995673
Nawapenda ndugu zangu wahaya wa Bukoba , wana akili sana!
Wanasema hii kadhia ya makelele ya kutaka mkoa wa Chato, kumaliza udhia, mkoa wa Geita uitwe mkoa wa Chato, kesi kwisha!
Hivi wewe huwaga unatumia akili kweli?View attachment 1995673
Nawapenda ndugu zangu wahaya wa Bukoba , wana akili sana!
Wanasema hii kadhia ya makelele ya kutaka mkoa wa Chato, kumaliza udhia, mkoa wa Geita uitwe mkoa wa Chato, kesi kwisha!
Huwaga nyie mijitu ya mwendazake mna ukosefu wa vitamin ya kuwasaidia kufikiri.Hivi wewe huwaga unatumia akili kweli?
Watu wa chato wanahitaji kupatiwa hadhi ya mkoa.
Wewe unakuja na mirohojo ya kubadili jina!
Ccm wana watu wa ajabu sana kama wewe.
Mwenyewe alitaka mikoa iongezwe Ili vijiji vigeuke kuwa mjini na maendeleo ya vijijini yapatikane kirahisi Sasa sijui kwanini wapingane naye? Maana wapinzani wake walitaka serikali ya majimbo na ndo wengi walipenda lakini yeye akapinga akasema ataongeza mikoa na wilaya Ili maendeleo yasife kijijini na pia alionyesha kwa mfano kugeuza kijiji kuwa na maendeleo kama mjini hivyo wakiongeza huo mkoa litakuwa jambo jema kwa kuanzia huko kuongeza mikoa Ili vijiji vipewe maendeleo na wengi wafurahie kuzungukia Nchi maana Kila sehemu patakuwa mjini.Hivi wewe huwaga unatumia akili kweli?
Watu wa chato wanahitaji kupatiwa hadhi ya mkoa.
Wewe unakuja na mirohojo ya kubadili jina!
Ccm wana watu wa ajabu sana kama wewe.
Huo mkoa labda utaongezwa kupitia ndotoni tu.Mwenyewe alitaka mikoa iongezwe Ili vijiji vigeuke kuwa mjini na maendeleo ya vijijini yapatikane kirahisi Sasa sijui kwanini wapingane naye? Maana wapinzani wake walitaka serikali ya majimbo na ndo wengi walipenda lakini yeye akapinga akasema ataongeza mikoa na wilaya Ili maendeleo yasife kijijini na pia alionyesha kwa mfano kugeuza kijiji kuwa na maendeleo kama mjini hivyo wakiongeza huo mkoa litakuwa jambo jema kwa kuanzia huko kuongeza mikoa Ili vijiji vipewe maendeleo na wengi wafurahie kuzungukia Nchi maana Kila sehemu patakuwa mjini.
Ukiipandisha hadhi kisiasa wilaya mkoa ndo inapata maendeleo? Wazo muflisi kabisa.Mwenyewe alitaka mikoa iongezwe Ili vijiji vigeuke kuwa mjini na maendeleo ya vijijini yapatikane kirahisi Sasa sijui kwanini wapingane naye? Maana wapinzani wake walitaka serikali ya majimbo na ndo wengi walipenda lakini yeye akapinga akasema ataongeza mikoa na wilaya Ili maendeleo yasife kijijini na pia alionyesha kwa mfano kugeuza kijiji kuwa na maendeleo kama mjini hivyo wakiongeza huo mkoa litakuwa jambo jema kwa kuanzia huko kuongeza mikoa Ili vijiji vipewe maendeleo na wengi wafurahie kuzungukia Nchi maana Kila sehemu patakuwa mjini.
Huu ndio ukabila alioutaka Magufuli.Wahaya si huwa mnawabagua watu wa Ngara, Biharamulo na Chato, leo imekuwaje wanataka kupewa mkoa wamekuwa watamu eeee ? Mmechelewa, Chato inakwenda kuwa mkoa ili Kagera mbaki nyie wahaya na wanyambo tu. Full stop.
Chato International airport imesaidia nini au ndo upotevu wa pesa tuMwenyewe alitaka mikoa iongezwe Ili vijiji vigeuke kuwa mjini na maendeleo ya vijijini yapatikane kirahisi Sasa sijui kwanini wapingane naye? Maana wapinzani wake walitaka serikali ya majimbo na ndo wengi walipenda lakini yeye akapinga akasema ataongeza mikoa na wilaya Ili maendeleo yasife kijijini na pia alionyesha kwa mfano kugeuza kijiji kuwa na maendeleo kama mjini hivyo wakiongeza huo mkoa litakuwa jambo jema kwa kuanzia huko kuongeza mikoa Ili vijiji vipewe maendeleo na wengi wafurahie kuzungukia Nchi maana Kila sehemu patakuwa mjini.
Mjimkuu Geita, mkoa Chato.View attachment 1995673
Nawapenda ndugu zangu wahaya wa Bukoba , wana akili sana!
Wanasema hii kadhia ya makelele ya kutaka mkoa wa Chato, kumaliza udhia, mkoa wa Geita uitwe mkoa wa Chato, kesi kwisha!
Mama Samia asijeingia mkenge.Mjimkuu Geita, mkoa Chato.
Imesaidia wanaotumia na kuongeza ajira kwa wewe usiyetumia haiwezi kukusaidia, umejiangalia wewe tu kama hujasaidiwa wakati wengine imetusaidia.Chato International airport imesaidia nini au ndo upotevu wa pesa tu
Mpaka Sasa imepata maendeleo na Kila kitu kikikamilika ajira zitakuwa Chato zimeongezeka.Ukiipandisha hadhi kisiasa wilaya mkoa ndo inapata maendeleo? Wazo muflisi kabisa.