Wazee Bukoba: Kumaliza udhia, makelele ya kutaka Mkoa, Geita sasa iitwe mkoa wa Chato

Wazee Bukoba: Kumaliza udhia, makelele ya kutaka Mkoa, Geita sasa iitwe mkoa wa Chato

Wewe koma kabisa nani kakudanganya kwamba Geita ni mkoa mdogo ? Kumbuka iko kwenye kumi bora ya mikoa inayokusanya mapato zaidi. Na population karibu milioni mbili. Leo unasema mkoa mdogo ?
Kama hivyo ndio vigezo, nadhani Morogoro, Tanga, Tabora kila mkoa ungezaa sio chini ya mikoa mitatu.

Swali linarudi pale pale, kama wilaya ya Chato ina vigezo vyote hivyo, kwanini imege tena wilaya za mkoa wa Geita, Kagera na Kigoma ili kuundwa mkoa?

Kwanini Biharamuro/Ngara/Kakonko isiwe mkoa na Chato kuwa wilaya katika mkoa mpya wa Biharamuro/Ngara/Kakonko?

Kwanini tuimege wilaya ya Chato kutoka katika mkoa mdogo wa Geita ili tu kuifanya Chato kuwa mkoa?
 
Back
Top Bottom