Sasa kama wanataka kugawanywa siwaombe mbona wenzao wa Pwani wameomba juzi mkoa ugawanywe, kama serikali ya majimbo haiwezekani basi mikoa mipya italeta maendeleo na ajira kwa wingi kama mikoa iliyogawanywa ilivyosogezewa maendeleo na ajira zikapatikana.Hapo inabidi Geita,Simiyu,Mwanza,Shinyanga, na Chato ifanyiwe reshuffle itokee mikoa 3 tu maana Geita mkoa mpya tena ugawanywe wakati kuna mikoa mikubwa kijiografia kama Tabora au Morogoro haijagawanywa miaka 60 ya uhuru sasa!!
Embu tuwe serious,
Maendeleo hayaji kwa kuongeza idadi ya mikoa walau ungesema devolution kupitia halmashauri ziongezwe vyanzo vya mapato kutoka serikali kuu ili kuweza kusimamia masuala mengi ya maendeleo wenyewe hapo kidogo ndio tutapiga hatua.Sasa kama wanataka kugawanywa siwaombe mbona wenzao wa Pwani wameomba juzi mkoa ugawanywe, kama serikali ya majimbo haiwezekani basi mikoa mipya italeta maendeleo na ajira kwa wingi kama mikoa iliyogawanywa ilivyosogezewa maendeleo na ajira zikapatikana.
Hao wazee wame elekeza kisawasawa uliko mzizi wa fitna.View attachment 1995673
Nawapenda ndugu zangu wahaya wa Bukoba , wana akili sana!
Wanasema hii kadhia ya makelele ya kutaka mkoa wa Chato, kumaliza udhia, mkoa wa Geita uitwe mkoa wa Chato, kesi kwisha!
Hao wazee wame elekeza kisawasawa uliko mzizi wa fitna.
Watu wanataka ukabila na wanaiomba serikali iidhinishe ukabila huo.
Ukabila umewajaa hadi utosini.Wakati mkoa wa Katavi unaanzishwa bila vigezo mbona hamkupiga kelele ? Chato lazima itakuwa mkoa, kama si leo kesho lazima
Ukabila umewajaa hadi utosini.
Kule safi tu sijui huku Mkoa wa MsogaMikoa ya Butiama na Masasi vipi?
Kwann mnawang'ang'ania jamani wakati wanyamahangaKiukweli Chato haitakiwi kuwa mkoa hilo wala halihitaji shahada liko wazi. Enzi za ibilisi joka kuu zimepita.
Unavijua vigezo vinavyotumika kupata mkoa mpya? au unapinga tu kwa chuki!!Kiukweli Chato haitakiwi kuwa mkoa hilo wala halihitaji shahada liko wazi. Enzi za ibilisi joka kuu zimepita.
Inayo sifa kutokana na vigezo vinavyotumika kupata mkoa mpya kama hujui vigezo sema tukuambie halafu upime mwenyewe kama Chato inafaa kuwa mkoa.Chato haina sifa kuwa Mkoa..
Haina, acheni kulazimisha mambo yasiyowezekana.Inayo sifa kutokana na vigezo vinavyotumika kupata mkoa mpya kama hujui vigezo sema tukuambie halafu upime mwenyewe kama Chato inafaa kuwa mkoa.
Toa sababu na si kupinga tu bila sababu. Kuna vigezo vinavyotumika vya uanzishwaji mkoa mpya na si kuamua tu. Kwa kumjibu wa mwongozo wa TAMISEMI wa mwaka 2014, vigezo vya kuzingatia katika kuanzisha mkoa ni pamoja na kuwa na ukubwa wa eneo lenye kilomita za mraba usiopungua 20,000. Pia kuwa na wilaya nne, idadi ya watu isiyopungua asilimia tatu ya idadi ya kitaifa, tarafa zisizopungua 15, idadi ya kata zisizopungua 45 na idadi ya vijiji visiopungua 150. Mkoa mpya wa Chato utakuwa na tarafa 18, kata 87, vijiji 360 huku ukiwa na ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 30,215, lenye watu zaidi ya milioni moja laki tano.Kiukweli Chato haitakiwi kuwa mkoa hilo wala halihitaji shahada liko wazi. Enzi za ibilisi joka kuu zimepita.
Kama hivyo ndio vigezo, nadhani Morogoro, Tanga, Tabora kila mkoa ungezaa sio chini ya mikoa mitatu.Toa sababu na si kupinga tu bila sababu. Kuna vigezo vinavyotumika vya uanzishwaji mkoa mpya na si kuamua tu. Kwa kumjibu wa mwongozo wa TAMISEMI wa mwaka 2014, vigezo vya kuzingatia katika kuanzisha mkoa ni pamoja na kuwa na ukubwa wa eneo lenye kilomita za mraba usiopungua 20,000. Pia kuwa na wilaya nne, idadi ya watu isiyopungua asilimia tatu ya idadi ya kitaifa, tarafa zisizopungua 15, idadi ya kata zisizopungua 45 na idadi ya vijiji visiopungua 150. Mkoa mpya wa Chato utakuwa na tarafa 18, kata 87, vijiji 360 huku ukiwa na ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 30,215, lenye watu zaidi ya milioni moja laki tano.
Wahaya ni wakabila hasaa, ukitaka nenda Bukoba makao makuu ya mkoa ujionee jinsi mkoa unaopakana na nchi landlocked ya Uganda ilivyo Nyuma kimaendwleo.Huu ndio ukabila alioutaka Magufuli.
Mwalimu alisema kiongozi mkabila karne hii ni mufilisi kichwani.
Kwa mara ya kwanza tokea sakata hili la mkoa waChato kuibuka, ndo naona mtu aliye toa comment yenye mashiko.Toa sababu na si kupinga tu bila sababu. Kuna vigezo vinavyotumika vya uanzishwaji mkoa mpya na si kuamua tu. Kwa kumjibu wa mwongozo wa TAMISEMI wa mwaka 2014, vigezo vya kuzingatia katika kuanzisha mkoa ni pamoja na kuwa na ukubwa wa eneo lenye kilomita za mraba usiopungua 20,000. Pia kuwa na wilaya nne, idadi ya watu isiyopungua asilimia tatu ya idadi ya kitaifa, tarafa zisizopungua 15, idadi ya kata zisizopungua 45 na idadi ya vijiji visiopungua 150. Mkoa mpya wa Chato utakuwa na tarafa 18, kata 87, vijiji 360 huku ukiwa na ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 30,215, lenye watu zaidi ya milioni moja laki tano.