Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Wasalaaaam wazee wa kazi....
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati...
Kuna kabinti nilikapa mimba sasa ni miezi minne imepita tuko mkoa mmoja ila maeneo tofauti tena kwa umbali wa kupanda gari kwa .asaa kama mawili hivi.
Huyu binti anang'ang'ania aje tuishi wote maana huko aliko anaishi na mama yake mdogo ambaye anadai mamdogo kamtimua kwamba aende kwa baba wa mtoto, kaenda kwa dada yake, anadai pia dada yake kamtimua kwamba mumewe hawezi kumruhusu akae na mtu ambaye ana mzigo na mwenye mzigo yupo.
Kwa sasa anadai anaishi kwa rafiki yake tu. Nilimwambia kukaa na wewe itakuwa ngumu kwa sasa maana shughuli zangu ni za kusafiri safiri sana na naweza nikapotea geto hata wiki mbili nikiwa mishe mishe, sasa nikimuacha hapo kwa hali yake hiyo anaweza siku akazidiwa na akakosa msaada wa karibu maana hata wapangaji wenzangu sio wakaaji sana nao ni wazee wa mishe nyingi za kupotea mageto kama mimi tu.
Hela la matumizi namtumia vizuri tu kila anapohitaji( Hapa niseme tu ukweli, hizo sababu zote ninazompa ni za kumkwepa tu. Kwani sina uzoefu wa kukaa na mwanamke mjamzito bata kwa siku moja)
Cha pili...... nitashindwa kupiga show vile nataka kutokana na hali yake ya ujauzito hivyo nampiga sound hizo ili muda uzidi kwenda ajifungulie huko huko maana ndugu zake wengi wapo huko kama alivyoniambia hapo awali.
Kwao sijulikani na mtu hata mmoja kwa sura zaidi ya dada yake tu ambaye tunawasiliana kwa simu kama mtu na shemejiye basi.
Kingine anadai lazima tuishi wote kwa kipindi chote cha ujauzito kwakuwa eti mpaka sasa bado hajafungua kadi sijui sasa wakulungwa wazoefu wa mambo ya uzazi je kadi ya mjamzito haiwezi kufunguliwa bila baba wa mtoto mtarajiwaa kuwepo?
Au binti ananiwekea mtego kwamba nijichanganye nikubali aje na akiingia tu kwangu ndiyo hatoki tena?
Amekuwa akipiga simu mara kadha wa kadha mpaka usiku huku akilia kwamba anaishi kama mkimbizi tena kwa mtu baki ambaye ni rafiki tu na ikitokea siku wakavurugana ndiyo hana sehemu ya kwenda( sasa hii mimi naiona kama ni sound tu ya kike kujiliza liza ili nimuhurumie nimwambie njoo tuishi. Kinvine nahofia kuingia kwenye huu mtego ambao nimeukwepa toka mimba ilipokuwa na mwezi mmoja)
Gheto kwangu anapajua sana maana ndipo mimba ilipoingilia, ila toka aondoke na kuniambia ana mimba nikamwambia nimesafiri ila sijahama na mpaka leo namwambia sijarudi mamaa natafuta hela na kiukweli kila anapohitaji za matumizi namtumia vizuri maana naelewa kwa hali hiyo hatakiwi kukosa pesa ndogo ndogo hasa ukizingatia hana shunghuli yoyote ya kumuingizia kipato. Hata elemu yake ni ya kawaida tu.
Sasa wakulungwa kinachofanya nimkwepe huyu binti ni kwamba sitaweza kupiga zile show zangu heavy za mara tano kwa wiki mademu tofauti. Atanibana yaani ndani kuna mwanamke halafu nitakuwa na ukwasu.
Chapili nahofia kukaa na mjamzito ndani maana sijawahi kulea mimba wala kuwa na mtoto hasa ukizingatia kwao hakuna anayenijua zaidi ya kujua tu binti ana mimba na mwenye mimba yupo. Ila mwenye mimba yuko wapi hawajui na mimi siwajui. Ni dada yake tu ambaye tunawasiliana kwa simu.
Nimeeleza situation ilivyo ili wakulungwa mniambie je niko sahihi kwa kutaka anifungulie huko huko ama la?
Mkulungwa katika ushauri wako zingatia mambo haya.............
Sina uzoefu wa kulea mimba kwa ukaribu kiasi hicho maana sina mtoto. Nilikuwa ni mzee wa chapa ilale mademu tofauti hivyo hili jambo limenitia wenge kiasi.
Pia kwa uzoefu wa makuzi ya sehemu mbalimbali nimeona ni kawaida wanawake wengi wakipewa mimba na njemba huko mtaa naonaga wanakuwa kwao, ama kwa ndugu zao mpaka watakapojifungua ndiyo baba wa mtoto huonekana.
Ila kwa huyu binti ni tofauti, yeye analazimisha tuishi wote mpaka ajifungue na ananiita mimi mume wake, alishaacha kuniita jina langu.
Hapo ndiyo pananitisha maana sijawahi kuona binti akiishi geto kwa aliyempa mimba mpaka atakopojifungua. Hii sijawahi ona labda kwa mazinvira yenu nyie wakulungwa.
Mods naomba mnirekebishie tittle kidogo. Hapo kwenye neno "demu" weka "MWANAMKE?
Baada ya hayo naomba kuwasilisha...