Nimepokea kwa mshtuko mkubwa Taarifa za uzi huu.
[emoji3]
Yaani angalia usilaaniwe na uzao wako. Huyo mtoto akipata shida nuksi itakurudia wew. So long umeshaonywa.
Unataka uzoefu wa aina gani? Na ulitaka kwao wakutambue kama nani? Waziri mkuu ama Mkurugenz mkuu??