Wazee Kilimanjaro wamuandalia Rais Magufuli zawadi maalumu, mangi Mareale amuahidi ushindi wa kishindo Uchaguzi Mkuu

Wazee Kilimanjaro wamuandalia Rais Magufuli zawadi maalumu, mangi Mareale amuahidi ushindi wa kishindo Uchaguzi Mkuu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Viongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni

Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama
 
Hakuna Mangi siku hizi, watutolee ushamba wao hao wazee wamevurugwa nini?

Wamsifie wao kama Marealle, sio kuwaaibisha wazee wetu wa Kilimanjaro ambao tunajua misimamo yao

Kwanza huyo Marealle ni Mmarangu tena asitubabaishe kabisa kutuaibisha
 
Wapingaji wa Magufuli ni walewale, Wala hawajabadrika

Ni mafisadi,
Fyeti fyeki
Watumbuliwa
Walafi wa madaraka
Wauza ngada
Wauza nji Kwa mabepari na Mabeberu
Wengine ni wale wasiojielewa

Hasa hapa JF, utawaona Tu watakavyonipalura!! Wazazi wao sjui walikutana na fagio la Maguful, wanahasira wanaweza kumeza mtu,,, she!!!
 
Wazee wa uchagani wanalewa Mbege bora wangekuwa wazee kutoka Bukoba
 
Mzee Marealle na wazee wote wazalendo wa Kilimanjaro mungu awape maisha marefu yenye afya na fanaka.
 
Viongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni.

Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Usiseme wazee sema makada wakuandaliwa na chama uchwara hahah
 
Mzee Marealle na wazee wote wazalendo wa Kilimanjaro mungu awape maisha marefu yenye afya na fanaka.
Mmeshawadanganya wazee wa watu kwa hizo Mbege huku mnawabania Pension zao wanapata kwa shida.
 
Kwanza huyo Marealle ni Mmarangu tena asitubabaishe kabisa kutuaibish
Yani dhambi ya ubaguzi huwa haishii kumbagua kuwa huyu ni chasaka ndugu. Ukishanibagua MIE kuwa MIE ni mkurya,msukuma ama mnyiramba. Utaona Wa kwenu kuwa ndo sio chasaka aka vyaasaka ,ukishafika huko kwenu utaanzisha tena tabia ya ubaguzi mana una iyo damuni utaanza huyu ni mmarangu,mkibosho,mmachame,wauru,Wa west ama wasiha,wa old moshi yani bado hautaishia hapo. Utakuwa kwenu huko huko hata kama ni kibosho utaanza kuangalia koo ukiwa kwenye koo yako bado utabagua kuwa wale wako mbali na Sie. Mpaka kwa babu yako utabagua kuwa hawa ni Wa baba mkubwa sio Wa baba yetu mzazi
 
Viongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni

Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama
Wasije wakampa mbege!
 
Back
Top Bottom