johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kabisa bwashee!bwashee ni vyema na haki yao
Usiseme wazee sema makada wakuandaliwa na chama uchwara hahahViongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni.
Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mmeshawadanganya wazee wa watu kwa hizo Mbege huku mnawabania Pension zao wanapata kwa shida.Mzee Marealle na wazee wote wazalendo wa Kilimanjaro mungu awape maisha marefu yenye afya na fanaka.
Yani dhambi ya ubaguzi huwa haishii kumbagua kuwa huyu ni chasaka ndugu. Ukishanibagua MIE kuwa MIE ni mkurya,msukuma ama mnyiramba. Utaona Wa kwenu kuwa ndo sio chasaka aka vyaasaka ,ukishafika huko kwenu utaanzisha tena tabia ya ubaguzi mana una iyo damuni utaanza huyu ni mmarangu,mkibosho,mmachame,wauru,Wa west ama wasiha,wa old moshi yani bado hautaishia hapo. Utakuwa kwenu huko huko hata kama ni kibosho utaanza kuangalia koo ukiwa kwenye koo yako bado utabagua kuwa wale wako mbali na Sie. Mpaka kwa babu yako utabagua kuwa hawa ni Wa baba mkubwa sio Wa baba yetu mzaziKwanza huyo Marealle ni Mmarangu tena asitubabaishe kabisa kutuaibish
Wasije wakampa mbege!Viongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni
Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama
Hahahaaaa...... Kina mama wamesema watampa matawi ya majani yanayoashiria upatanisho kama yale ya siku ya matawi/ mitende!Wasije wakampa mbege!