Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Ushauri muhimu wakuuDuhh wakuu njoeni mtoe ushauri huku
Hakuwa hata na karatasi ya serikali za mitaa iliyotiwa muhuri wa mwenyekiti au mtendaji?Naombeni mawazo yenu Ili niweze kumfikishia wakuu
DuuuhHaki yake kwa style hyo ataipata kwa mganga Tuu
Hakuna namma
Ana documents za mauziano ya wakati huo zikiambatanishwa na sahihi ya mwenyekiti na mjumbe wa wakati huo na majirani?Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kile kiwanja kulikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Alijengaje Bila Kuwa na Hati ya Kiwanja au Offer ya Kiwanja?Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kile kiwanja kulikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Maelezo yako kama niwewe umetapeliwa.. maana upo less..Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kile kiwanja kulikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Anayo ila mwenyekiti huyo wa mwaka 2005 Naye ni marehemu sasaHakuwa hata na karatasi ya serikali za mitaa iliyotiwa muhuri wa mwenyekiti au mtendaji?
1.Sasa alipataje kiwanja bila kupewa hati.Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kile kiwanja kulikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Kiwanja no kikubwa kilipimwa na muhusika na yeye ni mmoja aliyekatiwa kipande kwenye hicho kiwanja mkuuMaelezo yako kama niwewe umetapeliwa.. maana upo less..
Kwanza kiwanja kama kilipimwa kwanini hana hati? waliandikishana? shahidi sio shida
Anakaratasi za serikali ya mtaa tuWaliuziana kwa utaratibu gani?
Yeye ana nyaraka zipi kuwa Hilo eneo alilipata kihalali?
Ushahidi wa manunuzi na baadhi ya mashahidi walokuiwepo kama wanapatikana anamng'oa meno kwenye kesi asubuhi "unusu-kasarobo"!Anayo ila mwenyekiti huyo wa mwaka 2005 Naye ni marehemu sasa
HujaelewekaKiwanja no kikubwa kilipimwa na muhusika na yeye ni mmoja aliyekatiwa kipande kwenye hicho kiwanja mkuu
Waliuziana wakiwa watatu tu?Yani mmiliki wa Kwanza,mnunuzi na mwenyekiti tu?Anakaratasi za serikali ya mtaa tu