much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Na fidia juuUshahidi wa manunuzi na baadhi ya mashahidi walokuiwepo kama wanapatikana anamng'oa meno kwenye kesi asubuhi "unusu-kasarobo"!
Na fidia juuUshahidi wa manunuzi na baadhi ya mashahidi walokuiwepo kama wanapatikana anamng'oa meno kwenye kesi asubuhi "unusu-kasarobo"!
Walikua wa nne Sasa ubaya mwenyekiti kafariki na shahidi yake ni marehemu muuzaji shahidi yake ni mtoto wake ambao lao ni MojaWaliuziana wakiwa watatu tu?Yani mmiliki wa Kwanza,mnunuzi na mwenyekiti tu?
Hapana sio Mimi na hata ningekua Mimi ningesema tu ni Mimi sababu jamii forum ni sehemu ya msaada zaidiKwani mkuu ukisema ni wewe unapungukiwa nini mbona haya ni mambo ya kawaida tu haya kwenye maisha......
Ngoja wajuvi wa sheria za ardhi waje wakupe muongozo.....
Kuwa mtulivu usipanic
Hata akiwa marehemu kuna shida gani na mhuri upo na saini ya muuzaji ipo kwamba kwakuwa magufuli kafa mikataba alioingia haufanyi kazi?Anayo ila mwenyekiti huyo wa mwaka 2005 Naye ni marehemu sasa
Sahihi zao anazo na passport zao za wakati huo?Walikua wa nne Sasa ubaya mwenyekiti kafariki na shahidi yake ni marehemu muuzaji shahidi yake ni mtoto wake ambao lao ni Moja
Hayo maandishi ya mauziano hayana miandiko ya hao vibaka waliobaki?Siku ya kesi waniite niwafanyie "carbon 14"!Walikua wa nne Sasa ubaya mwenyekiti kafariki na shahidi yake ni marehemu muuzaji shahidi yake ni mtoto wake ambao lao ni Moja
Kwenye karatasi zipo sahihi na majina na alama za dole gumbaSahihi zao anazo na passport zao za wakati huo?
Anao mkataba wa mauziano tuAlijengaje Bila Kuwa na Hati ya Kiwanja au Offer ya Kiwanja?
Aliruhusiwaje Kwenye Ujenzi (Building permitt) bila Kuwa na Hivyo vitu?
Kwani hana Mkataba wa Mauziano Katika Mkataba wa Kuuziana Nani alisaini?
Ndio tatizo hapoInaonekana jamaa alivyouziwa hakupewa document halisi ya muuzaji na pia hakwenda kubadilisha umiliki ardhi. Hapo ni changamoto
Sasa ana hadi alama zao za dole gumba anawaza nin kesi mbona anashinda iyo waende mahakaman finger print zitambeba izoKwenye karatasi zipo sahihi na majina na alama za dole gumba
Ngoja nimuambie mkuuSasa ana hadi alama zao za dole gumba anawaza nin kesi mbona anashinda iyo waende mahakaman finger print zitambeba izo
Sasa kwa nini unatudanganya unaumwa homa?Kesi imeisha.Kwenye karatasi zipo sahihi na majina na alama za dole gumba
Kama ana Mkataba wa mauziano anapata wasiwasi wa Nini wakati Kuna Sahihi ya Muuzaji na Mnunuzi..Anao mkataba wa mauziano tu
Sawa ngoja nimshauri maana kadataKama ana Mkataba wa mauziano anapata wasiwasi wa Nini wakati Kuna Sahihi ya Muuzaji na Mnunuzi..
Huo ndo atauwasilisha Mahakamani na Angeomba Waende Mahakamani
Kwanini mkuuhuyo jamaa yako hajanyooka, kuna vitu anakuficha