PostGE2025 Wazee mlioshangilia Mauaji kwenye hotuba ya Rais mmelaani vizazi vyenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,898
Reaction score
40,547
Jana Des 2, 2025 saa 7:11 mchana Watanzania wote wameona na Dunia imeshuhudia mliosilimishwa/kubatizwa na kupewa jina la Wazee wa Dsm mkipiga makofi kushangilia kauli ya mama Samia aliposema nguvu iliyotumika kukabiliana na Vijana Oct 29 ilikuwa ya kutosha.

Tumeona mlivyotumia vizuri posho mliyolipwa kuhudhuria na kwenda kushangilia vifo vya Watanzania wasio na hatua wengine wakiwa wameuawa ndani ya seble za nyumba zào.

Jana mmeshangilia vifo vya mama Ntilie waliopigwa risasi wakiwa wamejifungia kwenye vibanda vyao, mmeshangilia vifo vya Wanafunzi waliokuwa wanarudi nyumbani toka vyuoni, mmeshangilia vifo vya waandishi wa habari waliouawa wakiwa kazini kama Master Tindwa, mmeshangilia Mauaji ya Shehe Majini aliyeuawa akiwa kwake.

Kiujumla mmetuonyesha ushetani wenu badala ya utu, tumeshahudia uhalisia wenu.
Asanteni.
 
Hiyo mitakataka ina njaa sio poa
 
Wazee wenyewe ndiyo hawa. Baada ya pesa waliyopewa kuwaisha na kusiliza tena hotuba ya chura kiziwi.
 

Attachments

  • 1018978615.mp4
    784.2 KB
Kuitwa sio mvi ni busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…