Wazee mshahara umeshasoma huko?

Wazee mshahara umeshasoma huko?

Mi nlipo maokoto yapo yapo nkikaa vzr kimkakati 30k per day sikosi siku za kawaida naishia 12k & 13k ila mshahara haubadiliki😁😁
Private sector now Zina Hali mbaya. Watu tunashindia mikate huku tumetinga suti za laki 2. Mim nimeamua kujiongeza na biashara mana mpaka mda huu imebaki elf 16 tu mpaka utoke mwingine
 
Back
Top Bottom