Wazee mshahara umeshasoma huko?

Wazee mshahara umeshasoma huko?

Kaka kuna watu tukigawa mshahara wetu kwa siku ni km 50k kwa siku. So usijione unapata hela nzuri saaana
Sijazungumzia mshahara wangu nimesema maokoto tu lkn pia sijaaonesha kumtambishia mtu hata kidogo na wala sijawahi jaribu na hapa nliandika kwa jeuri ya fake ID tu, ila kama ww unalipwa vzr hyo 50k Kwa siku ni ww tu na kula kwa nafasi yako usifanye kum-underrate mtu!
 
Ndo hivyo watu maokoto yapo makubwa tu kukuzidi lkn wamemute
 
Ndugu, kumbuka kinachoongezeka ni annual increment na si nyongeza ya kima cha mshahara kwahiyo usijipe matumaini kupitiliza mwishowe ukafa Kwa presha bure pale utakapokutana na ongezeko la 19 elfu + 19 elfu ya mwezi July, jumla 38 elfu.
hiyo 38 umeenda palefu sana mkuu,... wengine wapo kwenye 7000.
 
Back
Top Bottom