Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nlipo maokoto yapo yapo nkikaa vzr kimkakati 30k per day sikosi siku za kawaida naishia 12k & 13k ila mshahara haubadiliki[emoji16][emoji16]
Sijazungumzia mshahara wangu nimesema maokoto tu lkn pia sijaaonesha kumtambishia mtu hata kidogo na wala sijawahi jaribu na hapa nliandika kwa jeuri ya fake ID tu, ila kama ww unalipwa vzr hyo 50k Kwa siku ni ww tu na kula kwa nafasi yako usifanye kum-underrate mtu!Kaka kuna watu tukigawa mshahara wetu kwa siku ni km 50k kwa siku. So usijione unapata hela nzuri saaana
Sijazungumzia mshahara wangu nimesema maokoto tu lkn pia sijaaonesha kumtambishia mtu hata kidogo na wala sijawahi jaribu na hapa nliandika kwa jeuri ya fake ID tu, ila kama ww unalipwa vzr hyo 50k Kwa siku ni ww tu na kula kwa nafasi yako usifanye kum-underrate mtu!
Kuna kosa nimelifanya hapo π€π€nirekebisheNdo hivyo watu maokoto yapo makubwa tu kukuzidi lkn wamemute
Bei?Ngoja nikauze majogoo yangu
20 tuBei?
hiyo 38 umeenda palefu sana mkuu,... wengine wapo kwenye 7000.Ndugu, kumbuka kinachoongezeka ni annual increment na si nyongeza ya kima cha mshahara kwahiyo usijipe matumaini kupitiliza mwishowe ukafa Kwa presha bure pale utakapokutana na ongezeko la 19 elfu + 19 elfu ya mwezi July, jumla 38 elfu.
Nasikia sikia tu Wanasema maumivuuu rafikiiii!Kabisa tusubiri tuone rafiki.
Pesa ishaisha mbonaVipi MMESHAINGIZIWA?
Ila mmeingiziwaPesa ishaisha mbona
Nmb or crdb unatumiahela ishaishaaa...