Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

Mwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.

Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.

Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.

Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
We Miso Missondo umepigaje hapo? [emoji1787]
 
mshahara wa dhambi ni mauti acha uzinzi
 
Teh teh teh teh teh teh mi nimesema tu kushuka kijahidin.
Nilikumbana nalo Kanda ya Ziwa huko.
Ila nilikwenda hospitali wakanicheki, ndio wakaja na hayo majibu.

Halafu nikapewa mavidonge sjui ya nini ila nikinywa nguvu zinaisha papo kwa papo.

Kwa muda wa mwezi mzima, full hallucinations.

Nilivyorudi kwa mke wangu, full heshima na ndani sitoki.

Kazini ndani, bia nakunywa sebureni kumbe hakujua yaliyonikuta huko safarini nilipoenda.
 
Najiuliza inakuwaje mke wa mtu anakuwa na Gono? Mumewe kasafiri muda mrefu sana?
Mke wa mtu ukitumwa utamleta? Sema mke wa watu. Atakwambia ohhh nilitumia choo public sokoni,mara ohh, kuna chupi mtumba nilivaa sikuifua vizuri.
Kikubwa tu zoeeni. Kuliwa vyako au wewe kula vya wenzako. Tatizo tu ni moja. Umhifadhi kwako,kama umepanga bili zote ulipie wewe, agongwe huko weee,af aje akwambie anataka nguo au lotion. Nyambafuuuu
 
Nilikumbana nalo Kanda ya Ziwa huko.
Ila nilikwenda hospitali wakanicheki, ndio wakaja na hayo majibu.

Halafu nikapewa mavidonge sjui ya nini ila nikinywa nguvu zinaisha papo kwa papo.

Kwa muda wa mwezi mzima, full hallucinations.

Nilivyorudi kwa mke wangu, full heshima na ndani sitoki.

Kazini ndani, bia nakunywa sebureni kumbe hakujua yaliyonikuta huko safarini nilipoenda.
Hahahahahahah hivi vitu acheni aise.
Mengine yanakufukuzia yenyewe. Ya sasa hivi, hela tu. Af mwisho wa siku likwambie ohhh,nina miaka karibia 6 sijakutana na mwanaume,nimekuona nikajisikia mabadiliko,niko vizuri dadeeeki. Kumbe limeshaisha na kuisha kabisa.
 
Back
Top Bottom