POLE!Mwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama
😊🔨Milango yote? Sema wanangu nyie majasiri sana mi kuvuka jerricho wall sijawahi na sitegemei kwenda huko mavini
We Miso Missondo umepigaje hapo? [emoji1787]Mwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
😀Azuma zikiondolewa madukani wengi mtakwisha
mshahara wa dhambi ni mauti acha uzinziMwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
Haahahaga.... Nimecheka kinoma comment ako aiseePole sana naona umepigwa faini kwa kuingilia mlango wa nyuma kama yanga
😂 katumia mlango ambao sio sahihi kakutana na faini ya GonoHaahahaga.... Nimecheka kinoma comment ako aisee
Wewe si mtakatifu.Kwa hiyo na wewe kumbe tayari?
Teh teh teh teh teh teh mi nimesema tu kushuka kijahidin.Wewe si mtakatifu.
Unamchakata mkeo tu
Na mkeo ni mwaminifu
Najiuliza inakuwaje mke wa mtu anakuwa na Gono? Mumewe kasafiri muda mrefu sana?Kaka last month nimekutana na demu uchi msafi na huna harufu guess nimetoka na gono tena mke wa mtu.
Nilikumbana nalo Kanda ya Ziwa huko.Teh teh teh teh teh teh mi nimesema tu kushuka kijahidin.
Mke wa mtu ukitumwa utamleta? Sema mke wa watu. Atakwambia ohhh nilitumia choo public sokoni,mara ohh, kuna chupi mtumba nilivaa sikuifua vizuri.Najiuliza inakuwaje mke wa mtu anakuwa na Gono? Mumewe kasafiri muda mrefu sana?
Hahahahahahah hivi vitu acheni aise.Nilikumbana nalo Kanda ya Ziwa huko.
Ila nilikwenda hospitali wakanicheki, ndio wakaja na hayo majibu.
Halafu nikapewa mavidonge sjui ya nini ila nikinywa nguvu zinaisha papo kwa papo.
Kwa muda wa mwezi mzima, full hallucinations.
Nilivyorudi kwa mke wangu, full heshima na ndani sitoki.
Kazini ndani, bia nakunywa sebureni kumbe hakujua yaliyonikuta huko safarini nilipoenda.
Sindano sio poa mzee siku tano unaenda kuchomwa na madaktari tofauti mpaka mishipa inakataa kuonekana zinaumaZile sindano ndio sahihi ila maumivu yake Sasa.