We kijana wa mashua hivi RK yupo?Haahahaga.... Nimecheka kinoma comment ako aisee
The killer is quiet like nothing happenedOne man down
Haziumi hata kidogoZile sindano ndio sahihi ila maumivu yake Sasa.
Tunajadili vitu halisi wewe unaleta imani za kufikirikaMkuu kabla ya yote ulipaswa kwanza ufanye toba... Ndo basi tena ushafir mtu ukikosa Ukimwi bado mbingu utazisikia.
Utaua watu weweNi ngumu kutibu Gono kwa aina moja ya dawa
Nakushauri,ongeza dawa ya kidonge inayoitwa CEFIXIME 400mg Single dose(kunywa pamoja na azuma)
Powercefhizo sindano zinaitwaje?, weka hapa kwa elimu kwa wote.
Usipofanya dhambi hupati umauti na waliokufa ni wenye dhambi imani ni upuuzimshahara wa dhambi ni mauti acha uzinzi
Umeyakanyaga hata ngoma ushaipataMwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho chukua tahadhari.
Mimi kitu kitakachonifanya nitulie na mke wangu ni hizo sindano jamani. Naogopa sindano vibaya mnoo!! Yani sindano hata nikiiona kwenye picha nasisimka mwili mzima. 💉 Hivi hakuna dawa nyingine za hayo magonjwa zaidi ya masindano 🙄Tiba ya gono haipo hivyo kila siku wanaenda kuangalia mishipa inayoonekana wanakudunga sindano siku tano
Wewe ndiyo utawamaliza kabsaa
Zilikuwepo ila saivi hazina nguvu tena zishakua suguMimi kitu kitakachonifanya nitulie na mke wangu ni hizo sindano jamani. Naogopa sindano vibaya mnoo!! Yani sindano hata nikiiona kwenye picha nasisimka mwili mzima. [emoji382] Hivi hakuna dawa nyingine za hayo magonjwa zaidi ya masindano [emoji849]
Tumeaswa kuwa STDs bado zipoSijui hapa umeleta Uzi tukushauri nini ikiwa Raha zote umepata ww na gonjwa umechukua
Na ni lazima hizo sindano zidungwe kwenye kalio? Hakuna sehemu nyingine?Zilikuwepo ila saivi hazina nguvu tena zishakua sugu
Sasa hivi sindano ndiyo kidogo zinanguvu ya kumtikisha Nesseria gonorrhea kuna rafik yake anaitwa Chlamydia ooh huyu ni msumbufu balaaa ila anakiboko yake kombora moja tuu chaliii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo cefixime ni kiboko kakidonge kadogo tu ila mwaka 2012 ndo nilikunywa nikapona gono sijawahi umwa tena coz i play fair n safeNi ngumu kutibu Gono kwa aina moja ya dawa
Nakushauri,ongeza dawa ya kidonge inayoitwa CEFIXIME 400mg Single dose(kunywa pamoja na azuma)
asante kwa kutujuza mkuu
Sasa kama wewe hapo nakukulaje na ndom potelea pote kavu inahusikaWatu ni risk takers eeh, peku mtu humjui sratus yake, pole na uepushwe na maradhi mengine iishie kwenye hilo gono tu