Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

Kmmk pole sana... Raha ya dk kadhaa imekuponza mwanetu...
 
Mwanamke mwenye infection yoyote ile kuna harufu ambayo si ya kawaida utaifeel..

Sie wengine kabla ya kutumbukiza hazina yetu huwa tunaingiza kidole na kukinusa kwa kuzuga.. tunapata approval ya kuingia au kutoingia.
Gono, chylamidia na syphilis hazina harufu mara nyingi
Bacterial vaginosis ndo zina harufu. Muhimu punguza wapenzi wengi na tumia condom
 
Mkuu,

Fanya uende hospitali upimwe vizuri upewe dozi ya uhakika, hizi habari za kumeza dawa kwa kuambiwa na washkaji, matokeo yake unakunywa dawa bila kufuata dozi ya kitaalamu, wadudu wanakufa nusu, halafu unatengeneza "super gonorrhea" ambalo halisikii dawa tena.

Pia, kapime na ngoma kabisa, ujue hali yako.
 
Hongera sana, jitahidi ili upate kaswende pia uje utueleze madhara yale.
 
Mimi kitu kitakachonifanya nitulie na mke wangu ni hizo sindano jamani. Naogopa sindano vibaya mnoo!! Yani sindano hata nikiiona kwenye picha nasisimka mwili mzima. [emoji382] Hivi hakuna dawa nyingine za hayo magonjwa zaidi ya masindano [emoji849]
Alafu ukidungwa Yale masindano mishipa inapotea.
Wanaanza ya kuchoma kwenye mikono kudadeki zake
 
Unaweza kuta ulijichanganya sehemu ila yeue ikawa ni trigger action tu. Au chooni and sometimes mataulo ya lodge hayapo sanitized vzr.

Ishu ni harufu jamani... ukiona chuma kinatema harufu haieleweki kimbia.
Na mwenye Virusi vya ukimwi nae uke wake unatoa hsrufu?.Vijana tuache kubeti afya zetu.Majuto ni mjukuu.MTAJI WA KWANZA NI AFYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…