Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

Zilikuwepo ila saivi hazina nguvu tena zishakua sugu

Sasa hivi sindano ndiyo kidogo zinanguvu ya kumtikisha Nesseria gonorrhea kuna rafik yake anaitwa Chlamydia ooh huyu ni msumbufu balaaa ila anakiboko yake kombora moja tuu chaliii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hyo sindano ya kutibu chlamydia inaitwaje mkuu
 
Mimi nauguli taya upande wa kulia kuelekea sikioni. Mara ya kwanza nakutana nae kimwili nilitumia kinga lakini tuli dendeka fresh tu. Baadae jioni siku hiyo hiyo nilianza kusikia maumivu makali ya taya kutoka mdomoni kwenda sikioni.
Kadri muda ulivyozidi kuyoyoma ndivyo hata mdomo nikawa nashindwa kuufungua na kutafuna pia.
Nikashauriwa nitumie Amoxilin. Nilizitumia na baada ya siku kama tano nikawa fresh kabisa.
Kwa kipindi chote hicho sikujua infection hiyo niliipatajepataje.
Sasa majuzi tena nikarudia show na huyo bidada. As usual tukatumia kinga lakini kudendeka ni palepale. Sasa tulipoachana tu nikaanza kuona meno ya upande wa kulia yanaaza kuuma na mdomo kua mzito. Maumivu yanapanda tena kwenda sikioni na kufungua mdomo inaanza kua shida. Yaa
Ni tatizo limerudi tena. Sasa kwa utafiti wangu naona huyu dada ndie chanzo na anashida kinywani kwake.
Nimeanza doz ya amoxilin tena
 
Sijui Kwanini Wana kupa pole, maana Ume fabya ujinga na uzwazwa pro max.
👉Na una jiona shujaa kwa kupita milango yote, mzee Kuna laana na nuksi.
👉Magonjwa ya ajabu ajabu, arifu USI ende kanisani au msikiti mpk miaka 10 ipite🤒
 
Mimi nauguli taya upande wa kulia kuelekea sikioni. Mara ya kwanza nakutana nae kimwili nilitumia kinga lakini tuli dendeka fresh tu. Baadae jioni siku hiyo hiyo nilianza kusikia maumivu makali ya taya kutoka mdomoni kwenda sikioni.
Kadri muda ulivyozidi kuyoyoma ndivyo hata mdomo nikawa nashindwa kuufungua na kutafuna pia.
Nikashauriwa nitumie Amoxilin. Nilizitumia na baada ya siku kama tano nikawa fresh kabisa.
Kwa kipindi chote hicho sikujua infection hiyo niliipatajepataje.
Sasa majuzi tena nikarudia show na huyo bidada. As usual tukatumia kinga lakini kudendeka ni palepale. Sasa tulipoachana tu nikaanza kuona meno ya upande wa kulia yanaaza kuuma na mdomo kua mzito. Maumivu yanapanda tena kwenda sikioni na kufungua mdomo inaanza kua shida. Yaa
Ni tatizo limerudi tena. Sasa kwa utafiti wangu naona huyu dada ndie chanzo na anashida kinywani kwake.
Nimeanza doz ya amoxilin tena
Pole sanaa, smtms sex ni laana
 
Hivi mtu hadi unaingia kinyume na maumbile shida huwa ni nini aisee? [emoji848][emoji848]

Maana najaribu kuwaza ile sehemu kazi yake halafu unakwenda kuchomeka uume wako kule iwe na condom au bila condom huwa kuna raha gani aisee?

Kimsingi huwa naona ni uchafu usio mithirika. Imagine njia ya haja kubwa wewe unakwenda chomeka uume wako hivi kweli usipatwe na maradhi?

Na hawa wanawake wa siku hizi aisee ni hatari sana. Unaweza kutana na binti mdogo ukasema huyu katulia hebu nimuonje kumbe anaingiliwa kinyume na maumbile.

Na jambo baya zaidi ni kuwa mwanamke anayeingiliwa kinyume na maumbile huwa anahamishia uchafu mwingi sana kutoka njia ya haja kubwa kuingia ukeni na kuweka makoloni ya bakteria wakali kuwahi kuwaona.

Na hatari mbaya zaidi ni namna mtandao wa ngono wa sasa ulivyo binti m'moja anaweza lala na wanaume hata sita kwa siku moja, na hawa wanaume pia wanaweza lala na wanawake tofauti nje ya huyo binti na hivyo kutengeneza mazingira ya kusambaza magonjwa ya zinaa kwa kasi kubwa.

Inafikirisha sana haya mahusiano ya miaka hii aisee. Hatari ya kupata magonjwa ambukizi ni kubwa sana aisee kadiri ya namna utajihusisha na wanawake wengi zaidi maana wanawake hawapo makini na afya zao hata kidogo.

Wengine watafanya ngono huku kalewa so hatajua anafanya nini kwa wakati huo. Mwanaume kachomeka dudu huko njia ya haja kubwa halafu atamuwekea binti mdomoni alinyonye. Binti anatoka huko anakuja kunyonyana ulimi na wewe unashangaa unapata maambukizi kwenye koo lako unapata madonda.

Aiseee vijana tuwe makini sana na kurukaruka na hawa mabinti wa kisasa.

Tutafute namna ya kujifurahisha ila tuwe makini sana.
 
Mwanamke anayeingiliwa na mwanaume zaidi ya m'moja huwa anakuwa si salama kiafya maana ana risk sana na utamjua sana namna uke wake utakavyokuwa hauna ulinzi mzuri.

Hawa mabinti wanaolalamika UTI kila siku hawa ni wa kuwatazama kwa jicho la tahadhari sana.
 
Watu wanahamisha E.Coli bacteria kutoka mkunduni kuingiza kwenye kyuma...Hapo anampa mwanamke UTI na yeye vilevile ana risk kupata UTI kutokana na chembechembe za mavi zilizobeba bacteria aina ya E.Coli kupenya katika tundu ya uume na kuingia katika mrija wa mkojo uitwao Urethra na kisha kupanda juu kupeleka maambukizi katika kibofu cha mkojo .
 
Mwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Duuh..
Huyo mume wa huyo malay*a ana tabu sana aisee
 
Mwanamke mwenye infection yoyote ile kuna harufu ambayo si ya kawaida utaifeel..

Sie wengine kabla ya kutumbukiza hazina yetu huwa tunaingiza kidole na kukinusa kwa kuzuga.. tunapata approval ya kuingia au kutoingia.
Hii point kweli kabisa, ukisikia harufu za ajabu ajabu tema hilo mtu STD nje nje hapo
 
Back
Top Bottom