Hivi mtu hadi unaingia kinyume na maumbile shida huwa ni nini aisee? [emoji848][emoji848]
Maana najaribu kuwaza ile sehemu kazi yake halafu unakwenda kuchomeka uume wako kule iwe na condom au bila condom huwa kuna raha gani aisee?
Kimsingi huwa naona ni uchafu usio mithirika. Imagine njia ya haja kubwa wewe unakwenda chomeka uume wako hivi kweli usipatwe na maradhi?
Na hawa wanawake wa siku hizi aisee ni hatari sana. Unaweza kutana na binti mdogo ukasema huyu katulia hebu nimuonje kumbe anaingiliwa kinyume na maumbile.
Na jambo baya zaidi ni kuwa mwanamke anayeingiliwa kinyume na maumbile huwa anahamishia uchafu mwingi sana kutoka njia ya haja kubwa kuingia ukeni na kuweka makoloni ya bakteria wakali kuwahi kuwaona.
Na hatari mbaya zaidi ni namna mtandao wa ngono wa sasa ulivyo binti m'moja anaweza lala na wanaume hata sita kwa siku moja, na hawa wanaume pia wanaweza lala na wanawake tofauti nje ya huyo binti na hivyo kutengeneza mazingira ya kusambaza magonjwa ya zinaa kwa kasi kubwa.
Inafikirisha sana haya mahusiano ya miaka hii aisee. Hatari ya kupata magonjwa ambukizi ni kubwa sana aisee kadiri ya namna utajihusisha na wanawake wengi zaidi maana wanawake hawapo makini na afya zao hata kidogo.
Wengine watafanya ngono huku kalewa so hatajua anafanya nini kwa wakati huo. Mwanaume kachomeka dudu huko njia ya haja kubwa halafu atamuwekea binti mdomoni alinyonye. Binti anatoka huko anakuja kunyonyana ulimi na wewe unashangaa unapata maambukizi kwenye koo lako unapata madonda.
Aiseee vijana tuwe makini sana na kurukaruka na hawa mabinti wa kisasa.
Tutafute namna ya kujifurahisha ila tuwe makini sana.