Wazee wa Aviator au kindege cha pesa

Kamari bora na ya haki itabaki kuwa ya kubeti tu nyingine zote zipo mikononi mwa mmiliki yeye ndiye anaye hamua ushindi uweje acha kupotosha wajinga
 
Manina Sana.... Kimenila 150k ndani ya dk 15.. nikatembea kwa mguu kutoka USA mpk Moshi...
 
Kamari bora na ya haki itabaki kuwa ya kubeti tu nyingine zote zipo mikononi mwa mmiliki yeye ndiye anaye hamua ushindi uweje acha kupotosha wajinga
Hahahahaha watu aviator kule wanapiga ela daily we unasubiri dakika tisini mwisho wa siku unachana mm huku na laki , kikubwa akili mtu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…