Wazee wa Aviator au kindege cha pesa

Wazee wa Aviator au kindege cha pesa

Kwa uzoefu wangu aviator ni casino nzuri na bora kuliko zote ukiwa na nidhamu nyema huwezi kulost kijingajinga, mara nyingi wanaopoteza ni walimbukeni watamani vya juu zaidiii.
Naweka odds zangu 2 na stake 10000 kuna mida yake kama dakika hizi 2/3 , 9/10 ,6/7, 10/11 na nyingine nyingi. Kama unachocho ongezea nipate ujuzi zaidi
Kamari bora na ya haki itabaki kuwa ya kubeti tu nyingine zote zipo mikononi mwa mmiliki yeye ndiye anaye hamua ushindi uweje acha kupotosha wajinga
 
Manina Sana.... Kimenila 150k ndani ya dk 15.. nikatembea kwa mguu kutoka USA mpk Moshi...
 
embu nipeni skills aviator ni wiki 2 sasa inanibutua mbayaa mbovuuu
Kuna app inaitwa slotpesa weka wanakupa na hela ya ku practise ukishaweza ndio unaweza weka hela ucheze mwenyewe.

Screenshot_20240201_191712_Edge.jpg
 
Kamari bora na ya haki itabaki kuwa ya kubeti tu nyingine zote zipo mikononi mwa mmiliki yeye ndiye anaye hamua ushindi uweje acha kupotosha wajinga
Hahahahaha watu aviator kule wanapiga ela daily we unasubiri dakika tisini mwisho wa siku unachana mm huku na laki , kikubwa akili mtu wangu
 
Back
Top Bottom