GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 387
- 490
Kwa uzoefu wangu aviator ni casino nzuri na bora kuliko zote ukiwa na nidhamu nyema huwezi kulost kijingajinga, mara nyingi wanaopoteza ni walimbukeni watamani vya juu zaidiii.
Naweka odds zangu 2 na stake 10000 kuna mida yake kama dakika hizi 2/3 , 9/10 ,6/7, 10/11 na nyingine nyingi. Kama unachocho ongezea nipate ujuzi zaidi
Naweka odds zangu 2 na stake 10000 kuna mida yake kama dakika hizi 2/3 , 9/10 ,6/7, 10/11 na nyingine nyingi. Kama unachocho ongezea nipate ujuzi zaidi