Wazee wa Aviator au kindege cha pesa

Wazee wa Aviator au kindege cha pesa

GOLD BOY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
387
Reaction score
490
Kwa uzoefu wangu aviator ni casino nzuri na bora kuliko zote ukiwa na nidhamu nyema huwezi kulost kijingajinga, mara nyingi wanaopoteza ni walimbukeni watamani vya juu zaidiii.
Naweka odds zangu 2 na stake 10000 kuna mida yake kama dakika hizi 2/3 , 9/10 ,6/7, 10/11 na nyingine nyingi. Kama unachocho ongezea nipate ujuzi zaidi
 
badae utaacha tu kucheza hilo dude bila hata ya kuambiwa na mtu.
 
Screenshot_20240131_184548.jpg
 
Huyo jamaa ni mgeni wa hizi kazi, tuna uzoefu na hizi kazi,

Siku atakapoweka mzigo wa maana uliwe kabla hata ndege haijaanza kupaa!... Ndio atajua hajui!

Kuna kipindi ushastake... Hata 0.00 second haipiti... Mzigo umeenda!
Tumia code au signal minions soko baya [emoji1787][emoji1787] na left baadae narudi na nikirudi nampiga 50 elf
 
Kwa uzoefu wangu aviator ni casino nzuri na bora kuliko zote ukiwa na nidhamu nyema huwezi kulost kijingajinga, mara nyingi wanaopoteza ni walimbukeni watamani vya juu zaidiii.
Naweka odds zangu 2 na stake 10000 kuna mida yake kama dakika hizi 2/3 , 9/10 ,6/7, 10/11 na nyingine nyingi. Kama unachocho ongezea nipate ujuzi zaidi
Hicho kindege kilishanilaza bila umeme kiutani utani zile flew away zinamaliza mtaji wote
 
Kuwin aviator ni rahisi kama utazingatia signal mkuu, ila kama una stake stake hovyo ni rahisi kulost pesa zako zote just for 5minutes only , ukiwa unacheza kwa signal na sio kila round mzee utapiga ela [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom