Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komenti Bora ya Karne [emoji1787]kifo ndo kitatutenganisha na kubeti sio wewe...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kifo ndo kitatutenganisha na kubeti sio wewe...
Mwamba uko deep sana Big up.Betting hata mimi siiamini kwa kweli. Haiwezekani iweke 100 halafu uje upate millions of money! Kumbuka ni watu wengi wanacheza. Na hata wakikosea hizo mia mia zinatakiwa ziwe ngapi uje upate milion!?
Kuna kitu hapa. Hakuna mtu anafanya biashara kwa hasara.
Wewe Nimekuelewa kuliko mtoa UziAnachomaanisha nadhani ni ile Wao wanaochezesha hii michezo wanaona mapema kabisa kwamba timu fulani imepewa ushindi kwenye mikeka mingi so wanakuwa na uwezo wa kupanga matokeo ili wasipate hasara.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app