Betting hata mimi siiamini kwa kweli. Haiwezekani iweke 100 halafu uje upate millions of money! Kumbuka ni watu wengi wanacheza. Na hata wakikosea hizo mia mia zinatakiwa ziwe ngapi uje upate milion!?
Kuna kitu hapa. Hakuna mtu anafanya biashara kwa hasara.

Anachomaanisha nadhani ni ile Wao wanaochezesha hii michezo wanaona mapema kabisa kwamba timu fulani imepewa ushindi kwenye mikeka mingi so wanakuwa na uwezo wa kupanga matokeo ili wasipate hasara.