Uhisi kati ya hao kuna hata mmoja anamsikikiza? Ili uweze kumshawishi mtu lazima kwanza akupe nafasi ya kukusikilizaWazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.
Butiku ameshakengeuka!
Nani mwingine tumuongezee hapa.
Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.
Butiku ameshakengeuka!
Nani mwingine tumuongezee hapa.
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi Tundu tisu hana adabu na hastahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja kutoka gerezano, na hiyo ni kulingana na makosa yasiyo na shaka ya uhaini yanayomkabili.Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.
Butiku ameshakengeuka!
Nani mwingine tumuongezee hapa.
Report ya CAG umeipata au unakuja kupiga poroja hapakibaraka wa mabwenyenye ya magharibi Tundu tisu hana adabu na hastahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja kutoka gerezano, na hiyo ni kulingana na makosa yasiyo na shaka ya uhaini yanayomkabili.
ni ramli nonsense kufikiri mtu asie na adabu kama lisu eti ataachiwa siku moja, hiyo ni ndoto ya mchana useless sana gentleman
ripoti ya cag daima huwa ni fursa muhimu sana kwa serikali na mamlaka zake kujipanga na kufanya vizuri zaidi tuendako.Report ya CAG umeipata au unakuja kupiga poroja hapa
Kibaraka wa kweli ni yupi? Huyu anaye gawa mali za nchi kwa waarabu bila faida yeyote kwa nchi au huyu ambaye anaongea tu bila vitendokibaraka wa mabwenyenye ya magharibi Tundu tisu hana adabu na hastahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja kutoka gerezano, na hiyo ni kulingana na makosa yasiyo na shaka ya uhaini yanayomkabili.
ni ramli nonsense kufikiri mtu asie na adabu kama lisu eti ataachiwa siku moja, hiyo ni ndoto ya mchana useless sana gentleman
ni yule alierubuniwa na kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kibaraka na mabwenyenye na hatimae wanaomfadhili na kumuhadaa kumsaidia afanye uhaini wakala kona baada ya kujikuta yupo kwenye 18 za wazalendo katika mamlaka.Kibaraka wa kweli ni yupi? Huyu anaye gawa mali za nchi kwa waarabu bila faida yeyote kwa nchi au huyu ambaye anaongea tu bila vitendo
Unawashwa kinyeo wewe ndio maana unajifanya huelewi ajendani yule alierubuniwa na kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kibaraka na mabwenyenye na hatimae wanaomfadhili na kumuhadaa kumsaidia afanye uhaini wakala kona baada ya kujikuta yupo kwenye 18 za wazalendo katika mamlaka.
lazima ashike adabu
Na huyo ndio muharibifu mkuuu wa nchi hiiAnasikilizwa Jakaya Kivuruge tu .
naona umelemewa na hoja na sasa unafanya jeramba la kuporomosha matasi kadiri ulivyofunzwa katika familia yako right?Unawashwa kinyeo wewe ndio maana unajifanya huelewi ajenda
Huyo ni Kivuruge kweli kweli, halafu sijui kwanini watu sampuli hii wanaishi maisha marefu, wakati watu wenye manufaa kwa nchi maisha yao yakikatishwa.Na huyo ndio muharibifu mkuuu wa nchi hii
Nimekufuatilia sana badae nimgundua kuwa wewe ni Moja ya watumishi katika idara fulani, shida hujieelewi naumepumbazwa na hako kanafasi uliokopo. Kuwa na na mawazo huru gentleman acha nonsense zakoni yule alierubuniwa na kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kibaraka na mabwenyenye na hatimae wanaomfadhili na kumuhadaa kumsaidia afanye uhaini wakala kona baada ya kujikuta yupo kwenye 18 za wazalendo katika mamlaka.
lazima ashike adabu
Tatizo hayo yanayolalamikiwa na wananchi yeye ndiye yuko nyuma yake.Kikwete ndo Mzee aliyebaki Ambae anaweza kusikilizwa na watawala
Gentleman,Nimekufuatilia sana badae nimgundua kuwa wewe ni Moja ya watumishi katika idara fulani, shida hujieelewi naumepumbazwa na hako kanafasi uliokopo. Kuwa na na mawazo huru gentleman acha nonsense zako
Huyu naye atazeeka hebu fikiria huko uzeeni atakuwaje? Akijitahidi saaaana atakuwa mchawi yani wizardkibaraka wa mabwenyenye ya magharibi Tundu tisu hana adabu na hastahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja kutoka gerezano, na hiyo ni kulingana na makosa yasiyo na shaka ya uhaini yanayomkabili.
ni ramli nonsense kufikiri mtu asie na adabu kama lisu eti ataachiwa siku moja, hiyo ni ndoto ya mchana useless sana gentleman
sifahamu lolote kuhusu hilo gentlemanHuyu naye atazeeka hebu fikiria huko uzeeni atakuwaje? Akijitahidi saaaana atakuwa mchawi yani wizard