Wazee wa Busara na Hekima wa Taifa hili, kweli hili limewashinda, mmeshindwa kumshawishi amwachie Lissu?

Wazee wa Busara na Hekima wa Taifa hili, kweli hili limewashinda, mmeshindwa kumshawishi amwachie Lissu?

Hii kesi lisu ake kimya tu kama wanamuhukumu wamuhukumu basi viishe. Hizi mbilinge mbilinge wao ndo wanapenda!
 
Wazee wa njaa mpaka basi nguvu za kutoa ushauri na kusimamia haki watazitoa wapi
 
ni yule alierubuniwa na kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kibaraka na mabwenyenye na hatimae wanaomfadhili na kumuhadaa kumsaidia afanye uhaini wakala kona baada ya kujikuta yupo kwenye 18 za wazalendo katika mamlaka.
lazima ashike adabu
Hoja zako za kototo sana bwashee ingawa wewe unajiona una hoja kwa kuwa uelewa wako ni mdogo sana
 
Hoja zako za kototo sana bwashee ingawa wewe unajiona una hoja kwa kuwa uelewa wako ni mdogo sana
tuliza mihemko na makasiriko basi ndugu mdau mwenye akili kubwa?

huna haja ya kuwewseka kwa hasira, jikite kwenye hoja ukiwa na mawazo mapy na fikra mbadala gentleman,
huna point kaa kimya tu na itapendeza zaidi
 
Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.

Butiku ameshakengeuka!
Nani mwingine tumuongezee hapa.
Lisu anatakiwa kuachiwa kwa hekima ya Samia au kwa mahakama kutokumkuta na hatia?
 
Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni busara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.
Nani mwingine tumuongezee hapa.
Niongeze mimi Mzee Pasco
1775060467081.png

P
 
Uhisi kati ya hao kuna hata mmoja anamsikikiza? Ili uweze kumshawishi mtu lazima kwanza akupe nafasi ya kukusikiliza

Kiongozi ukishachagua watu wa kuwasikiliza na wengine ukaonyesha waziwazi kuwa huwezi kuwasikiliza na hauna muda nao, katika uongozi wako utakumbana na changamoto nyingi

Kwa mfano; kujitenga na baadhi ya wazee, kujitenga na baadhi ya viongozi wa dini na kuambatana na wachache wanaokupamba na kukusifu muda wote

Ikumbukwe kuwa, ni vigumu sana watu wanaokusifia na kukupamba pamba muda wote kukushauri katika jambo gumu linalohitaji maamuzi magumu
Uko sahihi! Ichawa ndilo chaguo la Samia.
 
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi Tundu tisu hana adabu na hastahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja kutoka gerezano, na hiyo ni kulingana na makosa yasiyo na shaka ya uhaini yanayomkabili.

ni ramli nonsense kufikiri mtu asie na adabu kama lisu eti ataachiwa siku moja, hiyo ni ndoto ya mchana useless sana gentleman
uhaini unafanywa na mtu mmoja? Aachiwe tu, hiyo itakuwa ni mojawapo ya hatua ya maridhiano katika kuliponya Taifa
 
1. Hakuna sababu ya msingi ya kumuachia tundu. Aendelee kukinukisha gerezani

2. Na si tulikubaliana kuwa huyo ni mandela wetu anaandaliwa kuwa rais huko tecdema..sasa mnalialia nini tena?

3. Tangu lini mhaini akapewa huruma?

4. Tangu lini kibaraka wa mabwenyenye akapewa huruma? Mara amsterdam mara un mara icc, kiko wapi? Mnataka busara za nini?

5. NCHI IPO SALAMA, MSIZUE TAHARUKI HAPA
 
uhaini unafanywa na mtu mmoja? Aachiwe tu, hiyo itakuwa ni mojawapo ya hatua ya maridhiano katika kuliponya Taifa
una haraka ya nini gentleman,
tuliza ball, timu ya uhaini inakula maisha ya mwisho nje ya lupango
 
Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.

Butiku ameshakengeuka!
Nani mwingine tumuongezee hapa.
Lisu alisema anataka ligi na Serikali Kwa kuaminishwa na Mabeberu,haya Kiko wapi?

Kwanza Huwa anamtukana Rais licha ya kumfanyia uungwana.

Hata ningekuwa Mimi siwezi muachia Hadi ashike adabu.
 
Matusi ni kusema ukweli nakutokuwa mnafiki, kwamaekezo yenu lisu yuko ndani kwasababu haelewani na mh rais. Acheni unafiki
 
Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.

Butiku ameshakengeuka!
Nani mwingine tumuongezee hapa.
Ko wewe akili inakwambia aliemuweka ndani lissu ni mama samia au unatumia hisia kufikiri
 
The matter concerning Lissu will be dealt with by the court accordingly He is notorious criminal yaani kukaa Mwaka mmoja milio imeshaanza kusikika akifungwa condemn ataweza kweli?
 
Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.

Butiku ameshakengeuka!
Nani mwingine tumuongezee hapa.
Wamezidiwa na bahasha
 
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi Tundu tisu hana adabu na hastahili kuachiwa huru hata kwa sekunde moja kutoka gerezano, na hiyo ni kulingana na makosa yasiyo na shaka ya uhaini yanayomkabili.

ni ramli nonsense kufikiri mtu asie na adabu kama lisu eti ataachiwa siku moja, hiyo ni ndoto ya mchana useless sana gentleman


Comment from satanic stupid creature called Tlaatlaah!!
 
Back
Top Bottom