MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Tanzania kwa sasa inaviashiria vyote vya kuelekea kwenye failed state na vita ya wenyewe kwa wenyewe, anayezuia nchi hii isiingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ni Tundu Lissu kwa sababu hajawahi kuwaambia Chadema watafute silaha.
Licha ya Tundu Lissu kuwa mwanasiasa machachari ila ameamua kupigana na CCM kwa hoja na mijadala, endapo ataumizwa kiasi kwamba akashindwa kuwazuia wafuasi wake kuangalia njia mbdadala basi nchi hii itavunjika vunjika.
CCM msiruhusu mwenyekiti wenu aendelee kuharibu hili taifa kama kweli mnalitaka, kama mnaamini katika sovereignty ya Tanganyika na Zanzibar, basi kuendelea kumshikilia Tundu Lissu kuna gharama kubwa kuliko kumuacha akaendelea kufanya siasa ngumu aliyokuwa anaifanya
Mwisho, Naomba viongozi wa CCM mtumie muda kujifunza Kifo cha aibu cha "Samuel Kanyon Doe" wa Liberia, kama jambo lolote baya litampata Tundu Lissu basi na sisi Tanganyika tutakuja kuwa na Historia mbaya ya "Mauaji ya kikatili ya waliokuwa viongozi wa CCM na dola"