Wazee wa Chama Mpo Wapi? Mfundisheni Mama Aache Siasa za Rafu, Taifa Halichezewi Hivyo!

Basi maneno aliyoongea mwanachama wa ACT Wazalendo anayetafutwa na polisi wenda yakawa kweli. Kupombeka kumemvuruga akili.
Samia anapiga sana whisky. Watu wa Ikulu wanajua ila kuongea ni vigumu sana.
 
Akina Wasira ndio hao wazee naomba ruhusa ya kucheka na kushangaa.Kwa hawa wazee,au unaongelea wale wazee wasiokuwa na huruma na watoto wa watu.
 
Wazee wa chama kina Mwinjako, Stevo wa Iringa, Msukuma, Kibajaji, Babu tilalila, Chala Mila na desturi.
 
Samia anapiga sana whisky. Watu wa Ikulu wanajua ila kuongea ni vigumu sana.
Basi itakuwa ni kweli. Maana nasikia Umi Mwalimu alimteta rais kuwa anapiga sana alcohol akatumbuliwa.
 
Basi itakuwa ni kweli. Maana nasikia Umi Mwalimu alimteta rais kuwa anapiga sana alcohol akatumbuliwa.
Hizi habari zinajulikana siku nyingi ila iliinekana kama uzushi. Zitakuja kuwa wazi zaidi baadaye.

Samia ana stress sana. Amepewa kazi kubwa sana kuliko uwezo wake.
 
Hizi habari zinajulikana siku nyingi ila iliinekana kama uzushi. Zitakuja kuwa wazi zaidi baadaye.

Samia ana stress sana. Amepewa kazi kubwa sana kuliko uwezo wake.
Sahihi kabisa. Hakupaswa kuwa kwenye nafasi aliyopo anapwaya sana.
 
Wazee kama Kikwete leo anashanga haoni dosari kwenye sheria ya uchaguzi, mzee kama huyu statoa ushauri wa mana kweli?
 

Kazungukwa na yenye kuamini ni makatoliki kuliko Papa ngoja tuone.

"Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, mwijakwu, Steve na timu nzima, hadi sasa Pole pole 5, sisi bilaa!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…