Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari.
Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili.
Wa Kwanza
Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na rafiki yangu wa karibu kutafuta gari, na macho yetu yatatua kwenye Honda Fit Hybrid 2013-2016.
Iligusa kila angle tunayotaka, kuanzia bei ya Japan hadi TRA. Kwa TRA kodi ilikua Mil 5 hadi 6.8 ndio ilikua kubwa.
Sasa hivi kodi Mil 10.
Wa Pili
Mwaka jana pia tulikua katika kutafuta Mazda Atenza 2015 kutoka JP. Ushuru tulilipa Mil 7.2 hivi, sasa hivi same car ni Mil 10.4
Sikumbuki vizuri data za CX5 kwa mwaka jana, ila nayo sasa hivi ushuru umeshoot kama rocket.
Sasa kuna hii Mazda Verisa, bado haijashika moto mtaani lakini waagizaji wenye showroom wameanza kuzileta kwa kasi. Kama upo kwenye mchakato wa kutafuta gari dogo, iweke na hii kwenye mtazamio.
CIF yake ni ya kawaida ni kuanzia $2,800 hadi $3,500 unapata gari safi. Na ushuru pia unacheza kwenye Mil 6 hadi 7 kasoro chache.
Ni moja ya gari nzuri sana, inapambana na Demio au kwa Toyota wakina IST na Porte.
Kwa engine ya cc 1500 na fuel consumption ya 16km/L au zaidi average nadhani ni moja ya gari nzuri kwa kuanzia, ambayo unaweza kuagiza mwenyewe kwa chini ya Mil 15 hivi.