Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

Habari zenu natafuta mentor wa forex mm nipo Tanzania institute of accountancy singida
 
Habari zenu natafuta mentor wa forex mm nipo Tanzania institute of accountancy singida

Buree
 
Wadau kama kuna anaetumia Pure Price Action naomba anicheki PM nimuulize baadh ya vitu
 
Umetisha mzee baba ..ukiwa siriyaz kwenye forex unatoboa fresh tu
 
nmeipenda hii
 
Kiongoz Linko Nimejaribu kuingia hyo link naona inanikatalia so naomba nikupe namba yangu uniunganishe na hilo group..natanguliza shukurani +255 744 624 781

Asante
 
Nime jaribu kuku add naona nime shindwaa ila jaribuu hiyoo

Wakuu nataka nianze kutrade volatility index 75 naombeni msaada wenu Na ushauri
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer https://secure.templerfx.com/main?rid=107946
 
wazee wa forex munajua jinsi inavyonoga kwenye skrini pana..

nauza hii skrini panaa smart slimm monitor ya hp inch 27..

bei 370k pekee..

unaunganisha na Hdmi au Vga whatever..
wasap 0752992783
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…