Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

Wazee wa FOREX mtanielewa vyema

Kama ana trading strategy, trading system au trading plan niite mbwa!!
Na mimi nasubiria jibu hapa

Maana kama ni proffesional forex player huwezi kupiga hela zote hizo kwa mpigo halafu mtaji wako ni mdogo, najua theoretically inawezekana ila hakuna proffesional forex player anayecheza hivyo, mtikisiko kidogo tu, umeunguza account

Watu wanaipiga hela kama hizo wanatakiwa wawe na kitu kama at least 200k usd kwenya account zao

Sasa mtoa mada kasema amepiga hizo AMEAGA UMASIKINI ina maana alikuwa na mtaji mdogo sana, yaani hapo alikuwa anacheza pure reckless gamble wala sio mtaalam ama anadanganya maboya
 
Habari zenu wakuu

ONYO, siandiki kama matangazo ya biashara

What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana nina haraka na pesa zangu,nahitaji return or loss inayoeleweka,nahitaji biashara zilizo serious, nahitaji liquidity inayosomeka n.k

Tuachane na hayo DSE Nitakuja kuwekeza endapo tutaingia uchumi wa viwanda kwa sasa nipo NYSE kwenye serious piposz

Bana we nirudi katika mada....,23,570$ !! Not shillings fellah witin' a single trade of EURjPY and Audjpy selling possition!! Make a count *2220tsh.,

Tuache masikhara wale trader wenzangu watakua wananielewa vyema eurjpy na audjpy zimemove sell down for about 260pips respectively tangile j4 asubuh na Gbpjpy pia

Binafsi Nami nilikua katika Ile move nikahold kwa siku mbili bila uoga siku zote sikulala vyemaa nikishuhudia equity yangu maana nilitembea lot tembo na si kawaida ku hold two day mi ni sclaper intraday,

sio siri kama kuna mtu alikua against ya zile pair nahisi alichoma akaunt week nzima hi ilikua kusell tu ***** hata kipofu alikua anapiga moneyy, nikiacha interest rate ya usd na NFP Hizo sikugusa naisi ningetouch 40,000$

Narudia sitangazi biashara nimeandika kwa mhemko tu wala sihitaji ela ya mtu wala siweki picha yoyote ya fx,forex is highly risk bz don't put what yo can't afford to lose, i lost about phucken money before sijakaa kwenye reli

Traderss leteni mrejesho jamenii wale mnaoanza msichoke au mnaolose msichoke iyo ni learning curve proccess, one day will make sense fellah, humu ktk MT4 tupo na highly inteligent pipoz so kuchukua ela zao inahitaji subira na akili isiyo na hasira wala hisia zilizo na mhemko mkubwa

Remember yo can't fight wit' a tick tree even if is livingthing

Deal closed
Enjoy a weekend
Hongera sana mkuu kwa kumake profit hiyo. Mimi bado najikongoja na mitaji midogo midogo ambayo ni rahisi sana kuchoma ila ninaamini sana forex is the real deal.
 
Hiili group nalipenda sana. Acha ni show love [emoji7][emoji7]

Kama ana trading strategy, trading system au trading plan niite mbwa!!
Kwa akaunti ya 10,000 USD kutrade lot ya 5.0 ni kubaka akaunti (gambling). Very poor risk management hata kama utasclap inaweza kuku cost in future. TUSITAKE UTAJIRI WA HARAKA HIVYO. WENGI TUNAUNGUZA AKAUNTI ZETU ZA FOREX KWA SABABU YA GREEDY (KUTAKA KUPIGA PESA NDEFU KWA MUDA MFUPI WAKATI VIAKAUNTI VYETU VYA FOREX NI KIDUUCHU). SIJUL SL YAKE ALIWEKA NGAPI?
 
Habari zenu wakuu

ONYO, siandiki kama matangazo ya biashara

What a week is this phuk yo poverty damn!!!, kwanza nimecheka sana na kusikitika sana kusikia DSE imepata elfu 40 kwa mauzo ya hisa hivi ni utani au serious!?? Nahisi ni serious maana hata mimi binafsi siwezi nunua hisa DSE kutokana nina haraka na pesa zangu,nahitaji return or loss inayoeleweka,nahitaji biashara zilizo serious, nahitaji liquidity inayosomeka n.k

Tuachane na hayo DSE Nitakuja kuwekeza endapo tutaingia uchumi wa viwanda kwa sasa nipo NYSE kwenye serious piposz

Bana we nirudi katika mada....,23,570$ !! Not shillings fellah witin' a single trade of EURjPY and Audjpy selling possition!! Make a count *2220tsh.,

Tuache masikhara wale trader wenzangu watakua wananielewa vyema eurjpy na audjpy zimemove sell down for about 260pips respectively tangile j4 asubuh na Gbpjpy pia

Binafsi Nami nilikua katika Ile move nikahold kwa siku mbili bila uoga siku zote sikulala vyemaa nikishuhudia equity yangu maana nilitembea lot tembo na si kawaida ku hold two day mi ni sclaper intraday,

sio siri kama kuna mtu alikua against ya zile pair nahisi alichoma akaunt week nzima hi ilikua kusell tu ***** hata kipofu alikua anapiga moneyy, nikiacha interest rate ya usd na NFP Hizo sikugusa naisi ningetouch 40,000$

Narudia sitangazi biashara nimeandika kwa mhemko tu wala sihitaji ela ya mtu wala siweki picha yoyote ya fx,forex is highly risk bz don't put what yo can't afford to lose, i lost about phucken money before sijakaa kwenye reli

Traderss leteni mrejesho jamenii wale mnaoanza msichoke au mnaolose msichoke iyo ni learning curve proccess, one day will make sense fellah, humu ktk MT4 tupo na highly inteligent pipoz so kuchukua ela zao inahitaji subira na akili isiyo na hasira wala hisia zilizo na mhemko mkubwa

Remember yo can't fight wit' a tick tree even if is livingthing

Deal closed
Enjoy a weekend

Nijikute!
 
Can you attach any proof?
 
Traders wenzangu ni kweli templer ana michezo ya kucheza na chart ili akutoe sokoni?
 
Mpaka leo unamtumia templer? Uko serious kweli? Au umepagawa na mpesa?
Kwani ana manipulate pips ngap zinazid 10? Aya kamishem ya kutumia bank transfer kwa mabroker wengine vip?, muache kumlaumu broker nae anafamilia bana anawafanyakazi atawalipaje? Na si kwamba anamove market no but anacheza na spread zake ambazo wide yake hairuhusiwi kuzid 20pip kwa baadh ya pair, cha msingi kwanza jua manipulation za soko husika si unabuy au kusel ovyo tu 1.chek volatility ,price movement, physicology of candles, phase(either give liquidity or gaining liquidity, market trap, time/season

Wengi wanamsingizia broker ila soko ndo lenye kuingiza watu chaka
 
Kwa akaunti ya 10,000 USD kutrade lot ya 5.0 ni kubaka akaunti (gambling). Very poor risk management hata kama utasclap inaweza kuku cost in future. TUSITAKE UTAJIRI WA HARAKA HIVYO. WENGI TUNAUNGUZA AKAUNTI ZETU ZA FOREX KWA SABABU YA GREEDY (KUTAKA KUPIGA PESA NDEFU KWA MUDA MFUPI WAKATI VIAKAUNTI VYETU VYA FOREX NI KIDUUCHU). SIJUL SL YAKE ALIWEKA NGAPI?
Stl 10pips
 
Once again eurjpy buysss 14,000$ banked within 2hrs
 
Congrats, kuna wanigeria wanaitandika forex kama ni ya bibi yao na nyanya yao.
Kweli mkuu.tatizo sisi watanzania ni wachoyo...mtu akishajua kitu kumfundisha mwenzake ni taabu kweli.....naona huko kwenye magroup ya whatsap, unamuuliza mtu jamba fulani..aisee anakujibu kwa nyodo kama vile mbingu na ardhi ni vyake..
 
Jiunge group hapo juu huta jutia
 
Back
Top Bottom