Wazee wa fursa naona wameona waje kivingine

Wazee wa fursa naona wameona waje kivingine

Watapoteza wateja wepi? Au umeambiwa hiyo kampuni ni ya masafi, uhai au Kilimanjaro?
Makinika, moja ya target market yao ni abiria ambao wapo mizunguko yao mjini hawa wanawapataje ikiwa hawatembei na vyombo unanielewa lakini ??
 
Makinika, moja ya target market yao ni abiria ambao wapo mizunguko yao mjini hawa wanawapataje ikiwa hawatembei na vyombo unanielewa lakini ??
Basi ungesema hawatapata wateja sio watapoteza tena umetaja na asilimia kabisa. Hata hivyo bado hoja yako haina uzito maana mtoa mada amesema makopo yanauzwa hapohapo....kwa wale wasioweza kutumia makopo ya kuokota watatumia ya kwao mfano umetoka makumbusho umenunua maji ukafika mawasiliano yameisha unaenda kujaza
 
Nipo sahihi nikisema 90% target market yao kubwa ni abiria hapo hao makonda na mama ntilie ni 10% tu inahitaji akiri ndogo tu kujua hilo.

Hoja yangu haina mashiko sikweli, jamaa kaswma wanatoa chupa baada ya kuhoji pima uzito wa hoja kulingana na muda imetolewa.
 
Aisee kuna binadamu wanapenda kubishana
 
Sijajua wameanza lini hii kampuni ila nimeona ipo sana maeneo ya stand. Yaani wao wanauza maji hawauzi chupa. Unakwenda na kigudulia chako aidha pia chupa ya maji ya kawaida then wanakukingia...... Lita moja ni shillingi mia mbili (200). Naona wanapata sana wateja especially wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo maeneo ya stand.

View attachment 1525767View attachment 1525768
Nendeni tu kununua maji ya bomba yaliyopozwa! Mkipata typhoid mje tuwape dawa!
 
Kuna baba yangu mdogo, ambaye ni padre, alishawahi kunambia.... Ukiona kuna wazo limekujia la kuvumbua kitu usilidharau na kulipuuza ni MUNGU anakupa siri ya kufanikiwa.

Unapodharau kuna wenzako wanafikiria at the same frequency level kama ya kwako, wanapokuwa wanasearch for ideas watakuta yako haujaifanyia kazi ipo pending na ndipo hapo sasa wao watalifanyia kazi na utapoliona utabakia kusema ayaaaaaaah hiki kitu nilikuwa nataka kukifanya kipindi fulani sema nikawa naona kama hakiwezekani.

So the best way kuishi ni kufanyia kazi jambo lolote linalokujia kichwani mwako.
Tatizo pesa mkuu unaweza kuwa na wazo zuri sana ila tatizo capital.
 
Mtu anawezaje kupoteza kitu ambacho hana? Wao ndio wameingia sokoni wanajitafutia wateja watakaopenda kununua pamoja na chupa wataendelea, akina sie tutaendelea na yetu ya kupima
Akina yakhee
 
Hil
Tatizo pesa mkuu unaweza kuwa na wazo zuri sana ila tatizo capital.
Hii Biashara inaweza kuwa nzuri Dodoma kuna sehemu for my experince wananunua maji sana ya chupa sababu ni maji yaliyopoa chumvi na sio masafi, ukipeleka masafi na yasio na chumvi pale kwa 200 your millionaire.
 
Unajua kwasababu gani unaona mtaji ni changamoto, sababu kichwani mwako tayari umenasa na picha ya taasisi au biashara iliyokamilika. Unaona ofisi ya kisasa, wafanyakazi 50 unawalipa zaidi ya milioni kadhaa kwa mwezi. Ndio maana picha ni ya gharama sana kwako.

But fikiria kwa sura hii, ni vipi kama hicho unachotakiwa kukifanya unatakiwa ukianze hata kesho utaanzaje kwa namna yoyote.....ndio hauna mtaji so what, unaanzaje hiyo kesho... Yaani umeamka asubuhi paaap unatakiwa kuanza hicho unachotamani kufanya....

Kwa mfano, jamaa huyu anaoparate kwa mashine hiyo... But hii biashara ipo tokea hata haya maji ya chupa hayajaanza kuonekana sokoni enzi za mwaibula sijui makamba.

Jamaa wanauza maji kwenye ndoo shillingi 50. Au uongo?!

So ukisema mtaji me nitasema hauna mbinu za kuanza mtaji ni sababu ila sio kikwazo katika kuanza....
Motivational speakers wanakuharibu. Kuongea ni rahisi issue ni implementation.
 
Hiyo biashara ni zaidi ya hayo maji yanayouzwa huyo chali wa musoma soon atakuwa don in tz maana ana maarifa mengi kila la kheri boss wa ecowater
 
Nipo sahihi nikisema 90% target market yao kubwa ni abiria hapo hao makonda na mama ntilie ni 10% tu inahitaji akiri ndogo tu kujua hilo.

Hoja yangu haina mashiko sikweli, jamaa kaswma wanatoa chupa baada ya kuhoji pima uzito wa hoja kulingana na muda imetolewa.
We jamaa mbishi sana.
 
Back
Top Bottom