Wazee wa fursa naona wameona waje kivingine

Wazee wa fursa naona wameona waje kivingine

Sasa mtu uliye mizunguko town unapataje chupa ili ukatiliwe maji.

Kwa model hii watapoteza wateja 90%
Kuna hizi chupa za wanamazoezi, naona watu wa maofisini wanazinunua sana, na vijana pia wanaziweka kwenye vibegi pembeni.
 
Sasa mtu uliye mizunguko town unapataje chupa ili ukatiliwe maji.

Kwa model hii watapoteza wateja 90%
Mkuu,hii model ina uzuri mmoja ambao wewe hujaiona,Wao wanaweza kuwa na chupa za kuuza hapo hapo.Ukitaka Chupa unanunua hapo hapo.So Wateja hawawezi kupotea
 
Sijajua wameanza lini hii kampuni ila nimeona ipo sana maeneo ya stand. Yaani wao wanauza maji hawauzi chupa. Unakwenda na kigudulia chako aidha pia chupa ya maji ya kawaida then wanakukingia.

Lita moja ni shillingi mia mbili (200). Naona wanapata sana wateja especially wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo maeneo ya stand.

View attachment 1525767View attachment 1525768
Hii mawasiliano stand?
 
Back
Top Bottom