Uko bandarini,tra,au?Leo nimeamka nikajiuliza hili swali. Maisha hayako fair kabisa, kuna mwingine buku 5 tu tayari analewa, na kabla ya kuzuia viroba buku tu ilitosha kufanya mtu apate starehe hio.
Kwa upande wangu ukiniona nimelewa ujue imekatika kuanzia laki 3, na hapo nikiwa sina kampan kabisa. Ikitokea nipo chimbo wanalouza vinywaji kwa bei za VIP inaweza fika hata 500k+
Na huwa situmii bia kabisa, ni liquors na liqeurs tu.
Je wewe hadi ulewe unakua umezika kiasi gani?
Unalewa alcohol 150 sawaswa na kreti 1 na nusu la safari lagerSiku hizi Sminnorff 3 tu nageuka trafiki kuongoza magari.
Hizo ndio sigusi kabisa labda nichanganye na nyagi pori😀Hahahaaa
Labda kama unatumia bia. Nilikuona mahala kwwnye meza kuna almost kreti la safari
Huna loloteSijawahi kunywa nikalewa
Hizo ndio sigusi kabisa labda nichanganye na nyagi pori😀
Nyagi niliacha kitambo sabab ni rahisi kuzichakachua, nilishuhudia mwamba anatapika dam baada ya pafu kali la nyagi mwaka 2016 toka hapo situmii kabisa hizi local spirit, bora nilale na upwiru wa gambe10,000/=.Toka nimeanza kunywa konyagi akili zimeongezeka vibaya mnooo.
Mwamnamke anayekunywa safari muogope🤣🤣Ile picha sijui iko wp, uliipost humu nakumbuka, ulikua sehem kama park hv pemben kuna mwanamke, labda yeye ndo alikua anatumia hizo
Hahaha hamna Ice Black ina 5%Unalewa alcohol 150 sawaswa na kreti 1 na nusu la safari lager