Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio vodca ulotaja nasikia ina abv 50%??Hahaha hamna Ice Black ina 5%
Ya kidem hio
Kuna kulewa na kuzimaKuna wale wanakunywa Ila hawalewi nikimaanisha kulewa kupoteza kumbukubu na kuyumba na pombe wanashindilia za kutosha.
Unatumia nini.?Kuna kulewa na kuzima
Wewe unaongelea kuzima.
Kuzima huwa naifanya once kila baada ya miezi mitatu ila situmii gambe. Tunaitaga factory reset ukiamka hapo mpya kabisa kimwili hadi kiakili
😄😄😄Nyagi niliacha kitambo sabab ni rahisi kuzichakachua, nilishuhudia mwamba anatapika dam baada ya pafu kali la nyagi mwaka 2016 toka hapo situmii kabisa hizi local spirit, bora nilale na upwiru wa gambe
Viroba vilizingua sana.Kule Bukoba kulikuwaga na Viroba vinaitwa 'Empire 'vilikuwa vinatoka UGANDA.
Ulikuwa ukinywa vya 1500 lazima Uyumbe ,ulewe na kuzima.
Binafsi nachukia Sana pombe maana nimekuwa nikiona walevi wanavyopukutika .
Pombe zipo za aina nyingi na kiwango cha alcohol kinapishana. Hivyo kulewa kwa mtu kunategemea aina ya pombe anayokunywa na kiwango cha kilevi ndani yake wala siyo kiasi cha pesa alichotumia.Leo nimeamka nikajiuliza hili swali. Maisha hayako fair kabisa, kuna mwingine buku 5 tu tayari analewa, na kabla ya kuzuia viroba buku tu ilitosha kufanya mtu apate starehe hio.
Kwa upande wangu ukiniona nimelewa ujue imekatika kuanzia laki 3, na hapo nikiwa sina kampan kabisa. Ikitokea nipo chimbo wanalouza vinywaji kwa bei za VIP inaweza fika hata 500k+
Na huwa situmii bia kabisa, ni liquors na liqeurs tu.
Je wewe hadi ulewe unakua umezika kiasi gani?
Ndio maana nauliza unatumia kiasi gani.Pombe zipo za aina nyingi na kiwango cha alcohol kinapishana. Hivyo kulewa kwa mtu kunategemea aina ya pombe anayokunywa na kiwango cha kilevi ndani yake wala siyo kiasi cha pesa alichotumia.
Natumia shilingi 5000 kwa ulanzi na kangara.Ndio maana nauliza unatumia kiasi gani.
Mfano shot moja single ya jager ni 5k, hapo ni bia mbili kama sio tatu kwa local beers.
Tanzania hii inapatikana.?Ayahuasca