Wazee wa gambe, ili ulewe kabisa unakua umetumia pesa kiasi gani?

Laki 3 inaondoka ukiwa huna kampani,sijui labda hata viwanja unavokwenda navyo vinachangia.Kwa maana kama unakunywa bia hizi za 2,500 ina maana utakuwa umekunywa bia 120,sasa kama hulewi hapo kuna shida mahali...
 
mimi Konyagi ndogo Mbili na Safari lager 13 mpaka 15. hapo kweli huwa napata vibe la usingizi kabisa na pia huwa inabusti sana na nguvu flaniflani
Safari 13?? Wewe ni jini aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…