Wazee wa 'kataa ndoa', nielewesheni jambo hili kabla sijajiunga nanyi

Wazee wa 'kataa ndoa', nielewesheni jambo hili kabla sijajiunga nanyi

mana sex ni hitaji la muhim ila ili isiwe dhambi ni bora ukafanya tendo la ndoa katika ndoa kuliko kuzini(kama unataka kutengeneza mahusiano yako na Mungu mana dhambi inakutenga na Mungu)
Tendo la ndoa ni muhimu kwenye ndoa ila sio sababu pekee,sababu nyingine haikumpendeza Mungu mwanaume aliyemuumba aishi peke yake akamfanyia na msaidizi wa KUFANANA NAYE akamfanyia mwanamke ambaye Adamu alimuona kuwa ni SAHIHI kwake akamuita nyama katika nyama yake mfupa katika mfupa wake.
Ukipata mwenza sahihi kutoka kwa Mungu ndiye anauwezo wa kukupatia mke sahihi kwako,mke sahihi kwa mwingine anaweza asiwe sahihi kwako.
Kupata watoto na mengineyo hayo ni matunda baraka na neema za Mungu.
KWELI KUNA WAPO WANAOPATA WENZA WASIO SAHIHI hawa ndio wanaochukia ndoa kwa sababu ya uzoefu mbaya waliopitia katika mahusiano yao.Lakini mahusiano yako siyo ya mwingine ndoa zetu hazifanani,uzoefu wako hauwezi kutumika kushauri ama kuamua ndoa za wengine wote.ILA ukimuomba Mungu wenza wema na sahihi wapo,
Kama mimi Mungu amenipa mke mwema na sahihi na ndoa yenye amani furahabna upendo,na umoja nafurahia ndoa yangu.Naamini hata wengine Mungu anaweza kuwapatia wenza sahihi kwao wa kufanana na kuendana nao.Tuwaombee wenza wetu kama ni sahihi na ndio Mungu aliotuchagulia basi Mungu atawabadilisha na sisi pia tusiwe chanzo cha kuwakosea wenza wetu tuwapende wake zetu kama Kristo alivyolipenda kanisa na kuombea nfoa zetu na familia zetu.Mungu atusaidie.
Acha story hizo ndefu wewe, utakufa umeacha mdomo wazi au wakati unajisaidia chooni.
Msimsingizie Mungu, acheni kujifungamanisha na makahaba kwa kumsingizia Mungu
 
Mnakwepa majukumu nyie
Ila mjue miaka 60 hamtoboi
Majukumu ya kuwa strssed na malaya wa ndani ya ndoa?
Mngewashauri vijana wajipe muda wa kutosha kuchunguza wale wanaotaka waww wenza wao kabla kuingia nao ndoani.
Wanawake wenge sifa ya kuolewa ila ni 2 kwa 10
 
Bado haujajua Tu kama ina matatizo hata Hao waliokuwa Wana gongewa wake zao na Huyo jamaa wa guinea walikuwa hawajui kuwa ndoa zao zina matatizo mpaka hizo clips zilipo vuja
kwa
Acha story hizo ndefu wewe, utakufa umeacha mdomo wazi au wakati unajisaidia chooni.
Msimsingizie Mungu, acheni kujifungamanisha na makahaba kwa kumsingizia Mungu
Kwa hiyo mkuu unashauri tuvunje ndoa zetu kwa sababu ya tukio lililotokea huko guinea??
 
Acha story hizo ndefu wewe, utakufa umeacha mdomo wazi au wakati unajisaidia chooni.
Msimsingizie Mungu, acheni kujifungamanisha na makahaba kwa kumsingizia Mungu
1)ni kweli kila mtu atakufa mimi na wewe wote tutakufa ,tutakufaje ni siri ya Mungu alietuumba.
2)Ni wapi nimemsingizia Mungu,na nimemsingizia jambo lipi katika comments zangu?
3)Ni wapi nimejifungamanisha na makahaba??BIBLIA neno la Mungu inakwambia hao unao wahukumu kuwa ni makahaba wanaweza wakakutangulia kuingia mbinguni.
 
kwa
Kwa hiyo mkuu unashauri tuvunje ndoa zetu kwa sababu ya tukio lililotokea huko guinea??
Ushauri siyo kuvunja ndoa, bali kwa wale ambao hawajaingia ndani ya ndoa wajipe muda haa wa kuchunguza aina ya wenza wanaotaka kufunga nao ndoa.
Si kila mmoja atawafaa na si kila mwanamke anastahili ndoa, wengi ndoa kwao ni fasheni tu, siyo commitment.
Kwa Waliopo kwenye ndoa, wakianza kuona maluweluwe wajue hiyo ni ishara, wanapaswa kukimbia faster
 
Wazee wakataandoa,natakanijiunge na nyie endapo nikieleweshwa hili.

Mtazamo wenu ukoje, kwamba mnaishi na mwanamke na kumzalisha lakini hamfungi ndoa kwa maana ya kusign makaratasi kama pingu za maisha, au mnaamua kuishi bila mwanamke kabisa?

Na je, kama ni hivo manaake hamtokua na familia kabisa? Nielewesheni hapo tu.
Hata usipomsainisha makaratasi huwezi kuishi na mtu miaka 20 kama hawara 😁
 
Ushauri siyo kuvunja ndoa, bali kwa wale ambao hawajaingia ndani ya ndoa wajipe muda haa wa kuchunguza aina ya wenza wanaotaka kufunga nao ndoa. Si kila mmoja atawafaa na si kila mwanamke anastahili ndoa, wengi ndoa kwa ni fasheni tu, siyo commitment.
Kwa Waliopo kwenye ndoa, wakianza kuona maluweluwe wajue hiyo ni ishara, wanapaswa kukimbia faster
tunazungumza kitu kimoja KUPATA MWENZA SAHIHI ni kumuomba MUNGU mana Mungu ndiye anayekupa mke mwema ,hata mwanzo alipomuumba mwanadamu alimpa mke wa kufanana naye.Mungu pia ndio anakuongoza anakusrmesha moyoni mwako katika kuchagua mke sahihi kwa kuongoza akili nafsi yako hata katika kuchunguza.Ni vyema tukamuomba Mungu atupatie wenza sahihi.Kwa akili zetu za kibinadamu ipo njia inayo onekana ni njema machoni mwa binadamu ila mwisho wake ni mauti.Hata hao waliopata wenza wasio sahihi wao kwa akili zao walidhani wamepata sahihi.Hivyo bado kuna nafasi ya kumtanguliza Mungu atusaidie kupata wenza sahihi.(kwa wanaoamini katika Mungu.)
 
Bado haujajua Tu kama ina matatizo hata Hao waliokuwa Wana gongewa wake zao na Huyo jamaa wa guinea walikuwa hawajui kuwa ndoa zao zina matatizo mpaka hizo clips zilipo vuja
ni kweli bado sijajua na sijathibitisha,je kwa wakati huu ambao bado sijajua tatizo la ndoa yangu,unanishaurije nikatae /nivunje ndoa yangu ambayo bado sijajua /sijaona/sijathibitisha tatizo lake.??
 
Nilichokiona Guine kwa jamaa ni wazi kabisa wanawake hata umpe mazingira ya namna gani bado
ataliwa tuu. nimeangalia kama clip7 aisee unaambiwa huyu mke wa waziri fln na wengi jamaa kawala ofisin kwa kushika meza tu mkenyege unapita!!...jiulize hadi mke wa mkuu wa majeshi kaliwa dada yake na rais mke wa mchungaji kaliwa. sasa unamuamini vipi mwanamke kisa umeacha ka laki kako nyumbani?

Wanawake 400 sio mchenzo asee na huenda kuna wengine hakuwa record
 
Huu utaratibu wa kuzalisha mwanamke halafu wewe umlee mtoto tu mnatengeneza bomu, litakalowalipukia badae huko

Wanawake wengi huwa wanawaaminisha watoto wao kwamba baba yao alimtelekeza, hawapendi wanae, Yuko Kwa wanawake wengine kumbuka unaonekana mara mojmoja kama mvua ya dar

Akili ya mtoto inapokea vilevile na kuamini uhalisia ndo huo

Badae mwenzangu na mimi mwanao kashaweka vinyongo unasogeza kende zako unakataliwa unaanza kusema watoto hawanijali kumbe kuna faulo ulicheza ukasahau,
 
Kama unawatoto wawili watatu basi utakuwa na wasiwasi na hilo.

Nyumba yako mwenyewe lakini unaweza kuikimbia bila hata ya ushauri. Naweza kusema mwanamke ni kiumbe cha ajabu Sana.
 
Akuna anaekataa ndo shida ni umri bado haujafika wa kuoa
Pind umri ukifika wataoa tu
Kijana wa miaka 25-35 unaendaje kuoa wakat bado dunia inakuitaji
 
Back
Top Bottom