Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Maandishi haya sio mageni jijini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vimpate mwingine wewe huku uteseke.Kwa kilichotokea huko guinea nimeamini NDOA NI UBATILI.
Mimi haya mambo ya mahusiano Asee nimeyavulia shati kilichobaki ni mark time, ni kupiga na kuacha bora nijiandae kwa ajili ya ufalme wa mbinguni nitaishi mwenyewemana sex ni hitaji la muhim ila ili isiwe dhambi ni bora ukafanya tendo la ndoa katika ndoa kuliko kuzini(kama unataka kutengeneza mahusiano yako na Mungu mana dhambi inakutenga na Mungu)
Tendo la ndoa ni muhimu kwenye ndoa ila sio sababu pekee,sababu nyingine haikumpendeza Mungu mwanaume aliyemuumba aishi peke yake akamfanyia na msaidizi wa KUFANANA NAYE akamfanyia mwanamke ambaye Adamu alimuona kuwa ni SAHIHI kwake akamuita nyama katika nyama yake mfupa katika mfupa wake.
Ukipata mwenza sahihi kutoka kwa Mungu ndiye anauwezo wa kukupatia mke sahihi kwako,mke sahihi kwa mwingine anaweza asiwe sahihi kwako.
Kupata watoto na mengineyo hayo ni matunda baraka na neema za Mungu.
KWELI KUNA WAPO WANAOPATA WENZA WASIO SAHIHI hawa ndio wanaochukia ndoa kwa sababu ya uzoefu mbaya waliopitia katika mahusiano yao.Lakini mahusiano yako siyo ya mwingine ndoa zetu hazifanani,uzoefu wako hauwezi kutumika kushauri ama kuamua ndoa za wengine wote.ILA ukimuomba Mungu wenza wema na sahihi wapo,
Kama mimi Mungu amenipa mke mwema na sahihi na ndoa yenye amani furahabna upendo,na umoja nafurahia ndoa yangu.Naamini hata wengine Mungu anaweza kuwapatia wenza sahihi kwao wa kufanana na kuendana nao.Tuwaombee wenza wetu kama ni sahihi na ndio Mungu aliotuchagulia basi Mungu atawabadilisha na sisi pia tusiwe chanzo cha kuwakosea wenza wetu tuwapende wake zetu kama Kristo alivyolipenda kanisa na kuombea nfoa zetu na familia zetu.Mungu atusaidie.
ufalme wa mbinguniMimi haya mambo ya mahusiano Asee nimeyavulia shati kilichobaki ni mark time, ni kupiga na kuacha bora nijiandae kwa ajili ya ufalme wa mbinguni nitaishi mwenyewe
Sasa mkuu mimi bado sijajipata kufikia kuoa kipato changu kidogo ich ntakula mwenyewe nikimpa na mwanamke Nitakua najidhulumu nafsiufalme wa mbinguni
NI KWELI BORA KUTAFUTA UFALME WA MBINGU TU MANA HAKUNA NAMNA.Sasa mkuu mimi bado sijajipata kufikia kuoa kipato changu kidogo ich ntakula mwenyewe nikimpa na mwanamke Nitakua najidhulumu nafsi
wewe hauopo kwenye mfumo wetu tulia na ndoa yakosasa mfano mimi ndoa yangu haina tatizo unaniambia kataa ndoa?kwa sababu ndoa nyingine zina matatizo??