Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Wasalam!
Wazee juzi ijumaa nilikutana na toto moja hivi ya moto balaa kula mtu alikuwa anaiangalia basi mjuna nikajitosa kwa mazungumzo mafupi ya kufahamiana kisha mrembo akaachia namba kuilaini sana.
Huwa nikionaga mademu wakali sichelewi kuomba mzigo na mara nyingi sinyimwi kwa kufanya hivyo, hii teknik naotumia kwa mademu wakali tu maana nakuwa najiaminia kwamba hata akinikatalia fresh maana mtoto mwenyewe anaviwango sio vya kawaida si huwa wananipa vizuuuri kabisa.
Huyu mrembo baada ya kukutana nae asubuhi ilipofika mchana nikampanga akaingia kingi usiku nilaka mzigo heavy heavy. Jumaamosi tena tukashinda geto namkamua kweli kweli.
Shida nimeanza kuipata jumaapili nikienda kukojoa kuna vitu vyeupe vinatoka mwishoni baada ya kumaliza kukojoa vinakuwa kama usaha hivi, inafuka jmaatatu ya jana hali ni hiyo hiyo nikasema tayari nishapata gono mamaaaaeeee ila mbona gono ukikojoa huwa mkojo unauma sana ila kwangu ni tofauti mojo hauumi ila ukiminya dudu kuna vitu vyeupe kamausaha vinatoka nikaona niwahi hospitali hiyo ni jtatu ya jana sasa.
Baada ya kuweleza dokta shida yangu akanipeleka maabara kwa vipimo nya VDRL na majibu yakaja sina maambukizi ila wakanipa dawa moja ni ile ya azuma na nyingine nitaiambatanisha hapo inaitwa tricizole tablets.
Sasa wakurungwa sijaambukizwa STDI je hii itakuwa ni UTI ama ni nini na kama ni UTI je hizi dawa zinatibu UTI?
Kuhusu huyu mrembo sihitaji kumuona tena na wala sijamchana chochote nataka nipone kwanza kisha nimpe makavu live.