Wazee wa kazi hili ni tatizo gani limenikumba?

Wazee wa kazi hili ni tatizo gani limenikumba?

Sijui kwanini mzee ukimwi siuogopi kabisa kama ninavyoogopa kama haya magonirea, kaswende, UTI, kansa, kisukari na presha ila ukimwi mzee siuogopi hata robo.

Ukipata ukimwi unakunywa bia
Ukipata ukimwi unakula kitimoto
Ukipata ukimwi unakula wali, pilau, ugali, keki, Maandazi, tena unaongezea na matunda juu sasa kwanini niuogope? Toka zamani siuogopi ukimwi na situmii kindom kabisa hata nikutane na mademu wa bar na sijawahi kupata ukimwi.

Hiyo jana tu nilivyoenda kucheki hiyo hali wakapima ukimwi nikakutwa sinaa.
Kama hujui ukimwi ndo unaoharibu Kinga ya mwili na kuruhusu magojwa tajwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meza kidonge kinaitwa sefixime (sjui ndiyo maandishi sahihi) kimoja kinauzwa 4000.Meza kimoja tu then leta mrejesho hapa

Poa nitaenda duka la dawa kuitafuta hiyo dawa mtaalam… umesema ni kidonge kimoja tu?! Je kinatosha?
 
Ila wanawake wengi siku hiz wamejaa sana magonjwa ya uchafu chafu haya alooo..Ukiwaona nje walivyo pendeza utasema ni safi mpaka ndani ila gusa sasa bila zana unase!!..
 
Gono nishawahi kuipata haiko hivi na hata walivyinipima hawakuikuta. Kioimi cha VDRL kilikuwa negative.

Gono inadalili mambo kama hayo niliyoeleza ila tu yenyewe ukikojoa mkojo unauma vibaya mno na ukifika siku ya tani dudu inaanza kutoa vidonda pembeni kuzunguka kichwa… sasa hii mimi nikikojoa haviumi ila kabla ya kukojoa ukiminya pale kwenye tundu kuna viti mfano wa usaha unaviona ndiyo nikawa nauliza je ni UTI au nini? Ila dawa nilizopewa ni hizo nilizotaja hapo kwenye uzi.
tatizo lako mbishi sana, gono ni gonnorrhea na kipimo chake sio VDRL

VDRL inapima syphils

hayo maumivu yatakuja tu ni suala la muda
 
Sana mkuu.Watu hawajionei huruma.Wengine wanawaza kuvaa mipira double wengine wanawaza kuacha kabisa zinaa af unakutana na mtu anajitumbukiza kwenye balaa kichwa kichwa namna hii bila kujionea huruma.Mtu humjui unaanzaje kuingia peku ?
Kuna magonjwa, pia ikitokea mimba hajawaza ataleaje yupo tu.
 
Sawa sawa na pia dokta aliniambia hivyo hivyo kwamba hiyo dawa ninywe na maji mengi. Inamaana baadaya kuuza mechi ukiosha mashine muda ule ule hupati yale magonjwa ya zinaa!!!!!?
Inatakuwa wazungu wakishashuka ng'oa mtarimbo fasta wahi bafuni kojoa mkojo wa kawaida kisha osha mashine kwa sabuni hii inapunguza kiwango cha maambukizi. Usiwe na ile tabia ukishamwaga unaivumbika ili ukiwashe tena wenyewe mnaita mumo kwa mumo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nikivaa kondom mzee sisikii ladha yoyote ile nakuwa kama natomba mgomba…. Yani sihisi chochote kile ndiyo maana huwa sivaagi kabisa.
Hata mimi ndom zinanikwaza sipati bao hata nigonge usiku kucha, hivyo mimj aidha nipotezee kama namba yenyewe haisomeki vizuri vinginevyo mimi pekupeku daima.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
tatizo lako mbishi sana, gono ni gonnorrhea na kipimo chake sio VDRL

VDRL inapima syphils

hayo maumivu yatakuja tu ni suala la muda

Hapo ndiyo umenishtua mzee inamaana kile kipimo cha VDRL hakipimi gonorea kinapima syhilis. Nipe elimu kidogo gonorrea inapimwa kwa kipimo gani mtaalam na dawa walizonipa je sahihi? Maana madokta wengine hawaeleweki… wamenipa dawa ya AZUMA na nyingine inaitwa TRICOZOLE TABLETS zina rangi ya njano.

Na je vipi kuhusu CEFIXIME ambayo kuna mdau ameitaja hapo kwamba niitafute!!!!
 
Back
Top Bottom