Wazee wa kazi hili ni tatizo gani limenikumba?

Kama hujui ukimwi ndo unaoharibu Kinga ya mwili na kuruhusu magojwa tajwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meza kidonge kinaitwa sefixime (sjui ndiyo maandishi sahihi) kimoja kinauzwa 4000.Meza kimoja tu then leta mrejesho hapa

Poa nitaenda duka la dawa kuitafuta hiyo dawa mtaalam… umesema ni kidonge kimoja tu?! Je kinatosha?
 
Ila wanawake wengi siku hiz wamejaa sana magonjwa ya uchafu chafu haya alooo..Ukiwaona nje walivyo pendeza utasema ni safi mpaka ndani ila gusa sasa bila zana unase!!..
 
tatizo lako mbishi sana, gono ni gonnorrhea na kipimo chake sio VDRL

VDRL inapima syphils

hayo maumivu yatakuja tu ni suala la muda
 
Sana mkuu.Watu hawajionei huruma.Wengine wanawaza kuvaa mipira double wengine wanawaza kuacha kabisa zinaa af unakutana na mtu anajitumbukiza kwenye balaa kichwa kichwa namna hii bila kujionea huruma.Mtu humjui unaanzaje kuingia peku ?
Kuna magonjwa, pia ikitokea mimba hajawaza ataleaje yupo tu.
 
Sawa sawa na pia dokta aliniambia hivyo hivyo kwamba hiyo dawa ninywe na maji mengi. Inamaana baadaya kuuza mechi ukiosha mashine muda ule ule hupati yale magonjwa ya zinaa!!!!!?
Inatakuwa wazungu wakishashuka ng'oa mtarimbo fasta wahi bafuni kojoa mkojo wa kawaida kisha osha mashine kwa sabuni hii inapunguza kiwango cha maambukizi. Usiwe na ile tabia ukishamwaga unaivumbika ili ukiwashe tena wenyewe mnaita mumo kwa mumo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nikivaa kondom mzee sisikii ladha yoyote ile nakuwa kama natomba mgomba…. Yani sihisi chochote kile ndiyo maana huwa sivaagi kabisa.
Hata mimi ndom zinanikwaza sipati bao hata nigonge usiku kucha, hivyo mimj aidha nipotezee kama namba yenyewe haisomeki vizuri vinginevyo mimi pekupeku daima.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
tatizo lako mbishi sana, gono ni gonnorrhea na kipimo chake sio VDRL

VDRL inapima syphils

hayo maumivu yatakuja tu ni suala la muda

Hapo ndiyo umenishtua mzee inamaana kile kipimo cha VDRL hakipimi gonorea kinapima syhilis. Nipe elimu kidogo gonorrea inapimwa kwa kipimo gani mtaalam na dawa walizonipa je sahihi? Maana madokta wengine hawaeleweki… wamenipa dawa ya AZUMA na nyingine inaitwa TRICOZOLE TABLETS zina rangi ya njano.

Na je vipi kuhusu CEFIXIME ambayo kuna mdau ameitaja hapo kwamba niitafute!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…