Wazee wa kazi hili ni tatizo gani limenikumba?

Meza kidonge kinaitwa sefixime (sjui ndiyo maandishi sahihi) kimoja kinauzwa 4000.Meza kimoja tu then leta mrejesho hapa
Tupe sifa zake na hasara zake nasi tujue,ikija kutokea kwa rafiki ama sisi wenyewe tuweze kujiponesha
 
Tupe sifa zake na hasara zake nasi tujue,ikija kutokea kwa rafiki ama sisi wenyewe tuweze kujiponesha
Inatibu magonjwa ya zinaa. Hasara zake sifahamu, wataalamu wa madawa ya binadamu watukufafanulia wakipita hapa.
 
nenda baada ya miezi kadhaa
 
😳 hauna maambukiz wakat hilo ni Gono a.k.a Kaswende... Na msichojua Kaswende ipo ya aina nyingi... Ila naona huu ni msimu wa Kaswende maana ndani ya wiki 1 humu JF zikefunguliwa nyuzi mbili kuhusu maambukiz haya...
 
Wasikutishe bhana ni hivi kama ambavyo kila mtu ana fingerprint zake hata sperm ni ivoivo kila mtu ana zake
 
Huenda hapo tayari umeungwa kwenye grid ya taifa.
 
Anza kumeza na arv maana inakuwa na dalili hizo hizo. Mimi ni dr. Kiwango usipuuze
 
Kwenye serikali za mitaa, mahospitali ya umma na maeneo mengi huwa kuna ZANA zipo bure kabisa.

Nenda kajipatie zako za kutosha ukae nazo geto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…