Wazee wa Kimila: Kawe ina wenyewe na huivamii tu kwasababu zako za Kisiasa na hii Mvua hatuiachii mpaka Alhamisi

Washirikina wanaijua sayansi? Waache na ujinga was
Kila kitu kwao uchawi
 
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufail kwa huu utabiri, ndio muendelezo wa kufail tabiri zenu zote hata baada tar 28 october.😂

Wanadar es salam tumeanza kushudia kijua flani awesome tangia mishale ya saa moja kasoro.
Mpaka sasa jua ndio linaenda kutuaga aga hivyo.
 
Gwajima baba lao ,Jpm baba lao
Chagua hai kwa maendeleo ya Taifa
 
Mcheza pono Gwajima ajiandae kuaibika tarehe 28/10.
Siyo waislamu wala wakatoliki wanaomuelewa, arudi akaendelee kucheza filamu za ngono, kuna pornstars wa ifm na mwingine chipukizi wa MUST Mbeya wakatoe movie, ubunge una mwenyewe na mwenyewe ni Mdee
Waislamu ndugu zao wa uamsho wapo ndani huu mwaka wa ngapi? na hakuna walichofanya sasa ndio itakuwa hiyo ishu ya Gwajima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…