Wazee wa Kimila: Kawe ina wenyewe na huivamii tu kwasababu zako za Kisiasa na hii Mvua hatuiachii mpaka Alhamisi

Wazee wa Kimila: Kawe ina wenyewe na huivamii tu kwasababu zako za Kisiasa na hii Mvua hatuiachii mpaka Alhamisi

Msiwe wajinga na wapumbavu kiasi hili jamani mnajiabisha!

Hii mvua iko dar nzima, kwa hiyo hao wachawi wa kawe ndio wameleta hii mvua sababu ya hiyo?

Mwaka jana mvua katika jiji la dar zilianza mwezi wa 9 na zikaunganisha na masika. Haya napo hao wachawi wenu wa kawe walikuwa wanatuma ujumbe gani kwa nani?..

Afrika tabu sana ndio maana Amsterdam anataka kuingoza nchi kwa kupitia Lisu.
Washirikina wanaijua sayansi? Waache na ujinga was
Kila kitu kwao uchawi
 
CCM kupitia Mwenyekiti Magufuli, Katibu Mkuu Bashiru na Mwenezi Polepole Mimi mpaka hivi sasa nimeshajitahidi Kuongea na Mzee Mmoja kati ya Wanne ambao nawajua amekubali Kuilegeza hii Mvua kwa Kumuahidi kumpa Mbuzi baadae ila hawa Wazee wengine Watatu kiukweli siwawezi nisaidieni. Sitaki Kuwaweka hapa hadharani hawa Wazee ila najua Watu wa CCM Kawe wanawajua vyema kabisa tu.

Na ni Wazee ambao Kawe nzima wanasifika kwa ‘Ndumba’ ambapo kuna Mmoja wao kama akitoka Kuvua zake Samaki Baharini anawauza ndani ya dakika 30 tu wakati wenzake watawamaliza Kesho yake au Keshokuta na kuna mwingine Yeye akiamua Kawe Mvua inyeshe au isinyeshe inakuwa hivyo hivyo. Na kuna Mwingine akipanda Daladala badala ya Kondakta amdai Nauli Yeye Kondakta ndiyo anampa Pesa.

Kwakuwa Mimi ni Mjukuu Wao na huwa nashinda nao mara kwa mara katika Kijiwe chao Kikuu cha Kucheza ‘ Bao’ huwa Napata bahati ya ‘Kuwachokoza’ na hata ‘Kuwatania’ na nakumbuka asubuhi ya leo nilipowauliza kuwa ‘Ugeni’ wa Kesho Kawe wanaujua na wanaupokeaje haya ndiyo yalikuwa majibu yao..

Wewe GENTAMYCINE waambie hao Wenzako kuwa Kawe ina wenyewe na huwezi tu ukaja hapa kutaka kufanya Kazi zako za Kisiasa ili umsafishe Mpuuzi Mmoja aliyewatukana Waislamu na bado anaendelea tu Kutuonyesha Jeuri zake. Nasikia alienda kwa Kadinali Pengo ila mbona Kwetu hajaja? kwahiyo Pengo na Wakatoliki ndiyo wenye Kawe na Tanzania hii? Hii Mvua tutaongezea Spidi hadi wakome

Tokea juzi tumeanza kuona kuna Maandalizi hapo Tanganyika Packers ila nakuambia kama hao CCM Wenzako huyo sijui Magufuli, Bashiru na Polepole hawaji kutuona Sisi Wazee wa Kimila Kawe basi watafute mahala pengine wa Mkutano wao kwani hii Mvua tukiwasamehe sana tutaisitisha Alhamisi Usiku na wakikutishia tu wanaweza wote kujikuta Wanaogelea zao tu Baharini Kawe

Naona kuna Watu wametoka zao huko Vijijini Kufuga Ng’ombe zao wengine Kukata Michongoma na mwingine Kusahihisha tu Mitihani Chuoni hawajajua kuwa kwa Mkoa mzima wa Dar es Salaam Kawe ndiyo Makao Makuu ya Ndumba / Uchawi. Wakitaka tuiachie hii Mvua Kesho JPM asimsafishe huyo Mpuuzi na tupewe sababu kwanini Yule Binti kapigwa Pini wakati alikuwa akitupigania mno tu

Mjumbe hauwawi na Mimi GENTAMYCINE nimeona nisikae Kimya na niwafikishieni wana CCM Wenzangu huu Ujumbe wao hawa Wazee wa Kawe.
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufail kwa huu utabiri, ndio muendelezo wa kufail tabiri zenu zote hata baada tar 28 october.😂

Wanadar es salam tumeanza kushudia kijua flani awesome tangia mishale ya saa moja kasoro.
Mpaka sasa jua ndio linaenda kutuaga aga hivyo.
 
Gwajima baba lao ,Jpm baba lao
Chagua hai kwa maendeleo ya Taifa
 
Mcheza pono Gwajima ajiandae kuaibika tarehe 28/10.
Siyo waislamu wala wakatoliki wanaomuelewa, arudi akaendelee kucheza filamu za ngono, kuna pornstars wa ifm na mwingine chipukizi wa MUST Mbeya wakatoe movie, ubunge una mwenyewe na mwenyewe ni Mdee
Waislamu ndugu zao wa uamsho wapo ndani huu mwaka wa ngapi? na hakuna walichofanya sasa ndio itakuwa hiyo ishu ya Gwajima?
 
Back
Top Bottom