Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Nikitazama namna ya maisha ilivyo sasa na inavyo enda nathubutu
kusema kwamba wazee wa kuanzia miaka ijayo 20 au pengine hata kabla
watakabiliwa na maisha magumu sana.
Hili nalitazama katika mambo matatu. Mosi ni wazazi wengi wa sasa
kukosa muda wa kuwa na watoto wao kwa ajili ya kutafuta maisha na
watoto kulelewa na dada wa kazi/ house girl na vituo vya kulelea watoto
yani day cares. Hii inapelekea kukosa ukaribu/ bond na wazazi wao na hii
itapelekea baadae nao wakizeeka kutelekezwa na watoto hao au kuwa
peleka kwenye nyumba za kulelea wazee.
Pili ni kutokana na hali ya ajira kuwa ngumu sasa wazee wa miaka hiyo
wengi watakosa fedha kwa ajili ya matumizi muhimu kama chakula
matibabu. Magonjwa yasiyo ambukiza yana kuja kwa kasi kama mgonjwa ya
moyo na mishipa ya damu, kansa, kisukari na figo.magonjwa haya yana hitaji
gharama kubwa za matibabu hivyo ukosefu wa bima kwa wazee hao wa baadae
itakuwa tatizo kubwa sana.
Mwisho tatizo la ajira miaka hiyo litakuwa kubwa zaidi hivyo watoto
wengi wataendelea kuwa tegemezi kwa wazazi wao ilihali mzazi hana
uwezo, hali ya walio nacho na wasio nacho utofauti/ gap itaongezeka na
hivyo mambo ya uchumi watakuwa magumu sana.
Wazee wenzangu wa baade tujipange 🤣🤣😂